Nikisikia mwanaume anampiga mkewe nashindwa kabisa kuelewa. Unampiga ili iweje? Unamfundisha tabia wakati kesha komaa?
Ila nikisoma hii thread kuna something wrong. Nani alikuwa ana fund hiyo safari? Kama ni foreign institution, naona kuna utata wa kumpa taharifa third part aje amwambie huyo dada kuwa safari imesogezwa. Je huyo jamaa alikuwa ni coordinator? Naona safari imekaa ki informal informal.
Kingine huyo mdada alikuwa hajuhi tabia za mumewe. Ukijua mumeo ana mawivu ya kupitiliza inabidi uepuke kugawa namba za simu kwa kila mtu.
mhh the BOss hata kama huyo aliyepiga simu si muandaa safari, was it best solution kumpiga mkewe?
sitetei kupiga mke,hiyo ni ujinga
but mwanamke kuweka access ya mawasiliano na fataki inaudhi sana pia...
Nikisikia mwanaume anampiga mkewe nashindwa kabisa kuelewa. Unampiga ili iweje? Unamfundisha tabia wakati kesha komaa?
mi naona lazima huyo mwanaume atakua anamfaham yule mpiga sim katika njia zisizo halali na akaona either jamaa atampenda mke wake (kwa maana ya kumpenda physicaly) au atamwambia mambo yao huko waliko kutana na uoga wa optiona na b (or even combo) akaamua aue hiyo safari.
Mke asirudi kwa huyo mwanaume tena, anedelee na maisha yake. Mwambie abusive men wanamaneno matam sana yanaweza kumconvince ila asirudi kabisa!!!
Haaaaaaaaaaaaaaaa!Huko kupigwa ni ishara ya upendo uliopitiliza kama ilivyokuwa kwa hitler kuwa na upendo kwa wajeruman akijitahid kufanya kila kitu kwa ajili yao ila dunia ikamwona dicteta. Huyo mume anampenda sana mkewe kias kwamba hatki hata inzi amsogelee.so ni uchungu tu wa mapenzi unamsumbua