najiuliza tu.

najiuliza tu.

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,611
Eti kuna umuhimu wowote wa member wa jf kujulikana angalau na member mwingine ili endapp litatokea la kutokea tupate taarifa?

Kwa mfano mimi hakuna mtu yeyote anayejua kama id hii ni yangu. JUST THINKNG
 
tufahamiane mimi na wewe.....jasti in kesi.....
 
Una lako jambo wewe,si bure,uwajue wake zetu ili iweje?
 
Eti kuna umuhimu wowote wa member wa jf kujulikana angalau na member mwingine ili endapp litatokea la kutokea tupate taarifa?

Kwa mfano mimi hakuna mtu yeyote anayejua kama id hii ni yangu. JUST THINKNG

Mbona mi nakufahamu a see?
 
tufahamiane mimi na wewe.....jasti in kesi.....

We preta usinikumbushe machungu jinsi ulivyniacha kwenye mataa kule manyara. Uliniahidi kunipokea ukanipotezea mpaka naondoka nikaondoka bila kukuona, nililiaje? Nilikusubiri sana pale yaeda juu hahaha... nshaanza kusahau maumivu mwenzio.
 
Kwa mfano lizzy sijamsikia siku, nani anaweza kunimbia yuko wapi.
 
Mmmhh! Nothing to display in any case
 
Just out of the case inafaa kufahamiana ....
 
Back
Top Bottom