Ivi inawezekana kwa mwanamke aliyeachwa na mume wake kwa zaidi ya mwaka mmoja asiwe amefanya ngono na mwingine kwa muda wote huo kweli? Tupeni uzoefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akiamua anaweza
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ivi inawezekana kwa mwanamke aliyeachwa na mume wake kwa zaidi ya mwaka mmoja asiwe amefanya ngono na mwingine kwa muda wote huo kweli? Tupeni uzoefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wakati ukiwa uko njwii au kabla?
Fikiria ndo uko na mke kaliwa hadi wengine kawasahau...Huko kuliwa kimashihara Kuna mida unaweza ukasahau...ndo maana tunakumbuka mahusiano serious mara nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh! Unanifunga kamba bibie
Umefunga, fungua tafadhali tusiharibu uzi wa jamaa






Hakuna kitu kama hicho,kizazi kilichoweza kuvumilia kwa muda mrefu kilitoweka toka karne ya 19/20
Hii karne ya 21 sahau ,atakwambia amekaa mwaka mzima bila kupekechwa,kumbe alishaliwa kimasihara na zero IQ kwa sahani ya chipsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu tuonjane



we mwana ni mpuuzi sana ujue 




nimecheka sana huu ujinga wako ulioandika hapa.
Lete nimsafishie njia
Lete nisuuze
😂 😂 😂 😂 😂