MasharubuMYJ
Member
- Sep 26, 2018
- 15
- 44
Ukweli kabisa ni kwamba inawezekana sana tu.Ivi inawezekana kwa mwanamke aliyeachwa na mume wake kwa zaidi ya mwaka mmoja asiwe amefanya ngono na mwingine kwa muda wote huo kweli? Tupeni uzoefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza
Na nyege zisivyo na adabu
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] kwaheriUmeanza
Hakuna namna jamani, mimi hata wiki mbili siweziNa nyege zisivyo na adabu
lazima apatikane mkunaji
Huko kuliwa kimashihara Kuna mida unaweza ukasahau...ndo maana tunakumbuka mahusiano serious mara nyingiUkweli kabisa ni kwamba inawezekana sana tu.
Ukweli mwingine ni kwamba, mwanamke akiwa anakutajia kuhusu kufanya mapenzi atakuelezea ile ya mahusiano yake ya serious.
Forget about hizi kuliwa kimasikhara ambazo ndo nyingi. Utaua na hatosema
My advice: You really don't wanna know! Move on