Najiuliza tu? Hivi wazee wa CCM hawamsikii Nape?

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,467
513
Baada ya kuisikiliza na kuitafakari hotuba ya Nape akiwa Iringa nimejiuliza maswali lkn sijapata jibu. Hivi kwamba lowasa ana watoto ndugu jamaa na marafiki, Nape hajui? Kwamba ana wafuasi lukuki nalo bado halijui, na kama hajui je haoni? Kama Lowasa ha a sifa ya kugombea urais Si tume wasingempitisha? kama yote hayo neo hivyo, yanini basi Nape kujitafutia maadui wote hao kwa nguvu kubwa hivi? Mi naona kwa umri wake ni bora atambue umuhimu wa fursa wa sasa bila kusahau kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi. Hii ni mbaya sana honestly na bado sijapima outcome kama ni plus au minus. Tanzania yetu ni bora na zaidi ya siasa jamani. Shine tidumishe amani.
 
Mkuu wazee Wa CCM ndio hao hao kwani yule aliyetukana wakati Wa ufunguzi Wa kampeni za CCM nae si Mzee yule?
 
Achana nao si wanajidai hawana masikio hivyo hawajaisikia tume na kanuni zake
 
Ningeshauri hizo audio za nape zenye matusi makubwa zipelekwe na ukawa kipindi wakifanya mikutano yao huko kwenye jimbo analogombea nape, ili wananchi wamjue vyema. Hilo litakuwa funga mji
 
Mkuu wazee wenyewe ndo type ya akina Warioba, unategemea nini mdogo wangu? Twendeni tu, tutafika tuuu! Natamani wampeleke na Arusha akayaseme hayo hayo!!
 
Mkuu wazee wenyewe ndo type ya akina Warioba, unategemea nini mdogo wangu? Twendeni tu, tutafika tuuu! Natamani wampeleke na Arusha akayaseme hayo hayo!!

Wakati mdomo ukigeuzwa kuwa njia ya haja hata mzee wa pushapu alikuwepo akiangaliaangalia saa yake mkononi. Sina uahakika kama alikuwa akisikiliza yaliyokuwa yakitoka kinywani mwa vuvuzela au akili yake ilikuwa inafikiria jinsi atakavyopiga pushapu katika kituo cha kampeni kilichokuwa kikifuatia!!
 
Baada ya kuisikiliza na kuitafakari hotuba ya Nape akiwa Iringa nimejiuliza maswali lkn sijapata jibu. Hivi kwamba lowasa ana watoto ndugu jamaa na marafiki, Nape hajui? Kwamba ana wafuasi lukuki nalo bado halijui, na kama hajui je haoni? Kama Lowasa ha a sifa ya kugombea urais Si tume wasingempitisha? kama yote hayo neo hivyo, yanini basi Nape kujitafutia maadui wote hao kwa nguvu kubwa hivi? Mi naona kwa umri wake ni bora atambue umuhimu wa fursa wa sasa bila kusahau kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi. Hii ni mbaya sana honestly na bado sijapima outcome kama ni plus au minus. Tanzania yetu ni bora na zaidi ya siasa jamani. Shine tidumishe amani.

Ukiona hivyo ujue hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzake so akili zote sawa
 
Hushangai tume ya Uchaguzi imekaa kimya, as if nothing has happened?

CCM yenyewe ilishakufa, kilichobaki ni mizuka yake tu!
 
Cjaona tofauti ya akili Kati ya nape na Dr slaa,,,, Bila Shaka ni watumiaji wazuri tu wa kuberi,,,,,, ✌✌
 
Back
Top Bottom