The Butcher
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 348
- 495
Hatari mno mkuuMbali na afya, mi huwa najiuliza wanawezaje kustahimili ngono na wanaume tofauti tofauti kwa siku moja, na kila mwanaume na mapigo yake.
Ukisikia mwanamke ana roho ngumu ndio hii sasaMbali na afya, mi huwa najiuliza wanawezaje kustahimili ngono na wanaume tofauti tofauti kwa siku moja, na kila mwanaume na mapigo yake.
Kwani hakuna wanaume wanaolala na ke zaidi ya mmoja kwa siku mkuu?Mbali na afya, mi huwa najiuliza wanawezaje kustahimili ngono na wanaume tofauti tofauti kwa siku moja, na kila mwanaume na mapigo yake.
InazuiaSwali la kizushi hivi kondom inazuia ukimwi kweli au tunaaminishwa tu
KabisaaaLicha ya kujali afya zao..hua najiuliza hawajawahi kuwaza kufanya biashara nyingine isipokua ya kuuza miili!!? Na wanawezaje kumudu kitombo cha kila Siku tena size za dick tofauti!!..?
Madada poa wanaustahimilivu wa kipekee jamani
Mijadala ya kujiuza imetosha we kama unawataka nenda kanunue.Wasalaam wakuu
Natumaini mnaendelea vizuri na mapambano ya kuhakikisha maisha yanaenda saafi.. straight to the point huwa najiuliza sana Hawa watu hasa wadada wanaojiuza huwa hawana wasiwasi na afya zao au vipi? Maana yeye akisikia pesa popote anakubali.. Afya zao hawana wasi wasi?? Na huu ujasiri wanautoa wapi?
Nakaribisha mjadala