Najiuliza hivi kuna haja gani ya wana CCM kupaniki?

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
392
383
Najiuliza hivi kuna haja gani ya wana CCM kupaniki?kama upinzani umekubali kujimaliza wenyewe ya nini kununa?

Lissu kashtuka lakini naona vijana wa chadema wanacheza ngoma bila maarifa.

Niwaambie haya mnayoyaandika Leo vijana wa chadema yatakuja kuwahukumu kesho.

Kipindi cha Hayati JPM, CCM walizidiwa sana na wakajikuta muda mwingi wanacheza ngoma ya CHADEMA bila kijua.

Ila kwa sasa ni kama vijana wa chama fulani wanasubira fadhila.

Angalizo ;hakuna analolifanya mama Samia halafu halina baraka ya CCM.
 
Jifariji tuuuu ila mmepakatwa sawasawa mlizani hii dunia ni yeni hamkujua kuna kufa!??? Kima nyie
 
Najiuliza hivi kuna haja gani ya wana CCM kupaniki?kama upinzani umekubali kujimaliza wenyewe ya nini kununa?

Lissu kashtuka lakini naona vijana wa chadema wanacheza ngoma bila maarifa.

Niwaambie haya mnayoyaandika Leo vijana wa chadema yatakuja kuwahukumu kesho.

Kipindi cha Hayati JPM, CCM walizidiwa sana na wakajikuta muda mwingi wanacheza ngoma ya CHADEMA bila kijua.

Ila kwa sasa ni kama vijana wa chama fulani wanasubira fadhila.

Angalizo ;hakuna analolifanya mama Samia halafu halina baraka ya CCM.
Na bado kenge nyinyi CCM wote
 
Wewe huwajui vijana wa chadema , utapotea vibaya sana !
 
20210407_190520.jpg

Wengine wanataka kugeuka Mama
 
Back
Top Bottom