Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,457
- 699
Ninajitolea mbegu za kiume kwa mwanamke ambaye anahitaji mtoto na mumewe/mpenzi wake hana uwezo wa kutunga mimba. Mwenye kuhitaji awe tayari tupime afya kwanza. Nitafute inbox for more info.


unauza mkuu au??ili biashara inoge onyesha sura usije kuwa kinyagoNinajitolea mbegu za kiume kwa mwanamke ambaye anahitaji mtoto na mumewe/mpenzi wake hana uwezo wa kutunga mimba. Mwenye kuhitaji awe tayari tupime afya kwanza. Nitafute inbox for more info.
Kamatia fursa twenzetu,hiyo ni fursa ya kugegeda mabinti na wake za watu pia kulelewa mtoto bure a.k.a kitongaDuuuh hivi tumefikia hatua hiii siku hizi
Zitakuwa mbovu hizoNinajitolea mbegu za kiume kwa mwanamke ambaye anahitaji mtoto na mumewe/mpenzi wake hana uwezo wa kutunga mimba. Mwenye kuhitaji awe tayari tupime afya kwanza. Nitafute inbox for more info.