Najitambulisha Rasmi

je ni msiba ndo umekupelekea kujiunga au toka zamani ulikuwa na hamu ya kujiunga..
karibu sana JF
 
Karibu mkuu maana humu kuna watu wa aina mbalimbali naamini safari yangu ya kwenda Ureno itapata ufumbuzi maana nataka nitumie usafiri wa mashua kama uliyotumia wewe wakati unakuja Afrika Mashariki. Karibu sana
 
Karibu mpendwa.....cjui mbege unakunywa???
 
Karibu,

Mwana weye ndiye Da Gama msafiri wa pale Magogoni au uzao huu wa Da Gama mrefu zaidi?

Maana kama ni wa Magogoni kuna watu walishaanza kusema umepunguza safari mwaka huu kwa kuwa umepoteza passport, wengine wakasema hapana kumetokea moto mdogo ulioanzishwa na pasi ukaishia kwa kuunguza pasi-poti.

Mi nikawanong'oneza "Yule "Da Gama" wa Magogoni Msafiri kafiri, hahitaji hata pasi anapeta bandari au kiwanja chochote" labda anagoja zamu ya kupungwa Bwagamoyo mwaka huu tu. Si unajua muhula wa urithi unanukia?

Sasa we Da Gama, DaGama au Dagaa, ama ?
 
Hahahahahaha, utamfanya mgeni wetu akimbie mkuu...
Karibu Vasco, hapa ndio JF, the home of great thinkers!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…