uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 12,019
- 28,580
Naitwa uhuru nimekulia katika familia ambayo kwa sehem kubwa kidogo nimelelewa na mama kwani mzee alifariki kitambo kidogo.kutokana na namna ambavyo nimemuona mama akihangaika na kunisomesha mpaka hapa nilipo nilijenga mtizamo ambao ni mzuri sna kwa mwanamke na kujiambia moyoni mwangu kuwa nikija kuwa na mwanamke nitampenda na kumheshim sana.ikafika wakati nikawa nae maeneo ya form four kuja advance kwa kweli nikapenda lakini nikiwa advance mwanzoni bila kificho nikagundua mwenzangu anauhusiano nje kwa ushahidi wa wazi(nilinywea sana coz hakuonesha kuhuzunika kwa hiyo hali ) tuliachana nikasema bora kutulia kwanza mpaka baadae nikaingia chuo huku nikijiambia soma kwanza nimefika mwaka wa tatu mwanzoni nikajiambia naelekea mtaani.
Sasa sio mbaya nikaanzisha uhusiano ambao nitaingia nao mtaani na kuwa na mke nikamuona binti mpole nikajiambia huyu anafaa kwani hata umri unaonekana kwenda kidogo(mi ni mkubwa kidogo japo sio above 30yrs nimechelewa kuingia chuo sbabu ya kukatiza katiza masomo,wengi wanajua hiyo hali kwa tanzania) nikampenda binti nae akasema nakupenda kama ujuavyo mwanzoni nikasema asante Yesu asa masuala ya mahusiano basi nianze kuangalia maeneo ya kazi huku nikiimarisha penzi ,kijana nikawa natumia kila theory kuhakikisha penzi la sasa halianguki. hamaki kumbe penzi likageuka la upande mmoja mwanzo utapigiwa simu ikaja kuwa utapiga mwenyewe na kuongea mwenyewe mpaka utakaposema kwa heri. Nikajitutumua na kuongea mpendwa mbona hali sio nzuri,nikawa nimeharibu mpaka leo.nahisi naanza kubadilika coz naona wanaokuwa na kaukorofi flani na wkati mwingine wakatli ndio angalau hupendwa naona chuki ya wazi dhidi ya wanawake inainuka kabisa,naona jinsi nitakavyokuwa na mpenzi mpya atakaye kuja nahisi kuwa mwongo na mkorofi staki kufika huko but i feel like i can not help the situation.asante kwa kusoma unaweza kushauri.