Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Ni kuomba tu isikutokee au hata ikikutokea basi unaomba Mungu akupitishe salama. Ndo maana unaweza ukasikia tu ghafla mtu fulani amejiua/ kajinyonga while nyie mlikuwa mnamuona yupo kawaida tu, but kumbe moyoni alikuwa analia Peke ake na alivyoona hakuna mtu anayesikia kilio chake ndo mnakuja kusikia fulani kanywa sumu. Ni Vitu vidogo ukiviongelea kwa story tu but vina madhara makubwa sanaMmh haya bwana, ni kuomba hii hali isitokee kumbe