Najisikia mpweke sana

Najisikia mpweke sana

Uciumize nafsi yako kwa watu wasio na mpango na wewe. Jitulize jipe raha kwa namna yo yote. Jisahaulishe na upige hatuambele. Samehe ili hasira ikutoke. Maisha ni yako hakuna atayekuendeshea maisha yako. Huoni wao wanasonga mbele km vile u dont exist?? Kuna watu na viatu. Kwa ushauri zaidi ni PM.GDAY

Asante Mamitodi, naku pm sasa hvi jamani
 
jitie moyo upo na wanao kiunoni na ipo siku watatoka watakupa faraja ... pole bana
 
soma sana vitabu, vyovyote vile ukipata vya dini au vya kawaida, vitakufanya ufikirie zaidi na kukupa fikra mpya na bora zaidi
 
hii hali huwa inawatokea wengi tu cha kufanya keep busy kusoma vitabu ila sometimes unaweza kujikuta hukielewi unachokisoma we angalia movies(indian love stories) am sure upweke wako utapungua na utajihisi kama upo na bhumika chaula
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom