Najisikia mpweke sana

Najisikia mpweke sana

Pole sana.Fanya haya ili ujinasue
1.Kuwa karibu na Mungu
2.Jipe raha mwenyewe
3.Toa misaada kwa wasio na uwezo
4.Fanya mazoezi
5.Jiunge katika vikundi mbali mbali vya kimichezo kibiashara nk.
6.Kuwa karibu na ndugu zako
 
Chaputa oyeeeee

Those times my nigga
Hilo tatizo dogo sana mtu life is too short tafuta mausiano mazuri na moyo wako jichangaye na watu wengine kama unahitaji kampeni tupo wengi we sema uko wapi tukolupe raha za duniani why unajikera mbali na hao wana ok usumbufu hama hata mtaa a Mkoa
 
Umeshakata mso ngo wa ma wao unahitaji binadamu karibu yako
 
Hilo tatizo dogo sana mtu life is too short tafuta mausiano mazuri na moyo wako jichangaye na watu wengine kama unahitaji kampeni tupo wengi we sema uko wapi tukolupe raha za duniani why unajikera mbali na hao wana ok usumbufu hama hata mtaa a Mkoa

Mkuu sorry umemix quote kidogo hapo

mimi sio mpweke kabisa

Am pretty happy as i only live once am so happy living my life with fucking no regreat
 
swahiba daima

We ni jinsia gani ??? kwa maana dawa ya upweke ni kupata faraja na aina ya faraja huendana na jinsia uliyoko
 
Last edited by a moderator:
Sijajua sababu ni nini jamani ila najisikia mpweke kama nimeachwa na kla mtu vile.

Nisaidieni nifanye nini wadau

12074637_531373537018065_3601289184021443280_n.jpg
 
Haupo karibu na watu, una shida zako lakini huna wa kumshirikisha, mbebs nae ana time zake tu hajali,lazma utajisikia hivo pole....
Fanya kitu cha kukuweka bize
 
naona watu wamejitenga na mimi. ila nina hasira sana na baadhi ya watu ambao wanataka niwanyenyekee bila sababu kwa sababu wanafurahi wakiina nawapigia magoti. niameamua sitabembeleza tena mtu sasa wanasema numebadilila ghafla. nina hasira sana dhidi yao

Asanteee.. kumbe umeshajitambua kuwa nini chakusumbua... sasa mpe mtu heshma yake na usimvunjie kisha shikaaa 50 zakoo.... njoo kaa na mimi nikukomaze. Dunia yangu na chaguo ni langu na heshima ishike mkondo wake.....
 
Haupo karibu na watu, una shida zako lakini huna wa kumshirikisha, mbebs nae ana time zake tu hajali,lazma utajisikia hivo pole....
Fanya kitu cha kukuweka bize

Kuna vitu najaribugi kuimagine lakini sipatagi picha vikoje, mbona mi hii hali sijawahi experience? yaani eti sijui mpweke, kukosa faraja, isolated sijui hata vikoje kwa kweli. Sielewagi hata vikoje, ndo nini?

cc atoto, Heaven Sent leo ndo sijui mko bize na kampeni, ntawapepea tu Oct 25 is coming
 
Hawayu my kaka?
 
Last edited by a moderator:
Haupo karibu na watu, una shida zako lakini huna wa kumshirikisha, mbebs nae ana time zake tu hajali,lazma utajisikia hivo pole....
Fanya kitu cha kukuweka bize

Namimi najisikia kama huyo bwana what do i have to do my dear
 
Kuna vitu najaribugi kuimagine lakini sipatagi picha vikoje, mbona mi hii hali sijawahi experience? yaani eti sijui mpweke, kukosa faraja, isolated sijui hata vikoje kwa kweli. Sielewagi hata vikoje, ndo nini?

cc atoto, Heaven Sent leo ndo sijui mko bize na kampeni, ntawapepea tu Oct 25 is coming

Teh me huko kwenye siasa sipo kabisa. Pressure za kayumba zilishanitosha

Broo hakuna kitu kibaya kama upweke. Unaweza ukafa kwa sonono kabisa. Inatokeaga sana especially Inapotokea umepoteza kitu, Iwe mahusiano, kazi, mpendwa amefariki etc. Ukikaa ndani ukalia Peke ako, tutakupoteza. Unachohitaji ni watu wa kukutia moyo, wakukeep busy ili usiwe na yale mawazo mabaya.

Kuwa isolated, inatokea sana especially pale unapokuwa unakosa kibali mbele za watu au unajikuta wewe ni mtu wa kukimbilia Sana wenzako wakiwa na matatizo afu siku yakikukuta wewe nobody is there for you.
Au Unajitahidi kufanya Vitu vizuri au kuwasaidia watu but hakuna anayeona mazuri yako wala kuappreciate. Unatamani atokee mtu akwambie tu "umejitahidi sana". Kuna watu wana vitu vizuri sana ndani yao, but wanahitaji watu wa kuwaambia "you can do it".yani neno moja tu linaweza likabadilisha kabisa maisha ya mtu.
 
Last edited by a moderator:
Teh me huko kwenye siasa sipo kabisa. Pressure za kayumba ziloshanitisha

Broo hakuna kitu kibaya kama upweke. Unaweza ukafa kwa sonono kabisa. Inatokeaga sana especially Inapotokea umepoteza kitu, Iwe mahusiano, kazi, mpendwa amefariki etc. Ukikaa ndani ukalia Peke angu, tutakupoteza. Unachohitaji ni watu wa kukutia moyo, wakukeep busy ili usiwe na yale mawazo mabaya.

Kuwa isolated, inatokea sana especially pale unapokuwa unakosa kibali mbele za watu au unajikuta wewe ni mtu wa kukimbilia Sana wenzako wakiwa na matatizo afu siku yakikukuta wewe nobody is there for you.
Au Unajitahidi kufanya Vitu vizuri au kuwasaidia watu but hakuna anayeona mazuri yako wala kuappreciate. Unatamani atokee mtu akwambie tu "umejitahidi sana". Kuna watu wana vitu vizuri sana ndani yao, but yanahitaji watu wa kuwaambia "you can do it".yani neno moja tu linaweza likabadilisha kabisa maisha ya mtu.

Mmh haya bwana, ni kuomba hii hali isitokee kumbe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom