Najisikia mpweke sana

Najisikia mpweke sana

Nakushauri, tumia muda huu kusoma vitabu vya Mungu. Hasa kwa habari za Yesu huku ukiomba. Hakika hali hiyo itakoma.
Be blessed
 
pole sana. ila fanya kama alivyokushauri Vivac
 
Last edited by a moderator:
Kwa nn ujisikie hivyo? Nini kimekutokea? Tiririka upate ushauri stahiki

naona watu wamejitenga na mimi. ila nina hasira sana na baadhi ya watu ambao wanataka niwanyenyekee bila sababu kwa sababu wanafurahi wakiina nawapigia magoti. niameamua sitabembeleza tena mtu sasa wanasema numebadilila ghafla. nina hasira sana dhidi yao
 
Sasa hiyo hasira uliyoijenga moyoni mwako ndo inakutafuna.... Just let it go na utajisikia mwepesi sana... Mradi ushajitambua kuwa hutaki kunyeyekea watu thats it!!! Huna haja ya kuweka kinyongo and the worst part is hao uwawekeao kinyongo they dont even think about your pain so ukitaka amani ya moyo learn how to control your anger...!!!
 
Sijajua sababu ni nini jamani ila najisikia
mpweke kama nimeachwa na kla mtu
vile.
Nisaidieni nifanye nini wadau
 
Sasa hiyo hasira uliyoijenga moyoni mwako ndo inakutafuna.... Just let it go na utajisikia mwepesi sana... Mradi ushajitambua kuwa hutaki kunyeyekea watu thats it!!! Huna haja ya kuweka kinyongo and the worst part is hao uwawekeao kinyongo they dont even think about your pain so ukitaka amani ya moyo learn how to control your anger...!!!

Thanks Hazel. siyo hasira strictly speaking ila nimeamua tu sitanyenyekea mtu unnecessarily maana wameshanifanya mimi ni kimtu cha kuwanyenyekea. nimewaheshimu ila sasa naona wamevuka mipaka nisipowaandikia au kuwapugia simu wanaleta maneno na kunihojihoji ovyo. sasa nimeamua na siraghairi sitaki tena kuwasiliana nao. wakafie mbele. SIBEMBELEZI MTU TENA. over
 
Nakushauri, tumia muda huu kusoma vitabu vya Mungu. Hasa kwa habari za Yesu huku ukiomba. Hakika hali hiyo itakoma.
Be blessed

Basi nikiomba ushauri mtu akaniambia nisome vitabu vya mungu mim huwa nabaki nikimshangaa na kumuona ni zaidi ya kiumbe cha ajabu!
 
Uciumize nafsi yako kwa watu wasio na mpango na wewe. Jitulize jipe raha kwa namna yo yote. Jisahaulishe na upige hatuambele. Samehe ili hasira ikutoke. Maisha ni yako hakuna atayekuendeshea maisha yako. Huoni wao wanasonga mbele km vile u dont exist?? Kuna watu na viatu. Kwa ushauri zaidi ni PM.GDAY
 
naona watu wamejitenga na mimi. ila nina hasira sana na baadhi ya watu ambao wanataka niwanyenyekee bila sababu kwa sababu wanafurahi wakiina nawapigia magoti. niameamua sitabembeleza tena mtu sasa wanasema numebadilila ghafla. nina hasira sana dhidi yao

Siku Zote Jifunze Kujishusha,kwa Jinsi Ulivojielezea Inaonekana Unapenda Kujikweza Sana Na You Think Wewe Ni Bora Kuliko Wengine.Sasa Inapofikia Muda Kama Huu Wa Wewe Kushuka Chini Kwako Unaona Ni Mzigo,unaona Kama Unaonewa,mawazo Hayo Yanakufanya Ujawe Na Hasira,na Sio Kweli Kama Umetengwa Ni Wewe Umejitenga Na Wengine Kutokana Na Hasira Uliyoitengeneza
USHAURI WANGU:
Jaribu Kukubali Matokeo Its Your Time Kuwa Chini Na Kunyenyekea.
HOW:
Jitahidi Kufanya Kila Kitu Unachofanya Au Unachoagizwa,jitahidi Kukifanya As If Its Your Only Way For You To Survive But Dont Exceed The Limit,wabongo Sisi Hatuchelewi Kusema "Mh Huyu Nae Kujikuta Mchapa Kazi" Lakini Fanya Kwa Kupenda.Kingine Epuka Kukaa Peke Yako Fikra Mbovu Unajeng...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom