Najisikia kuhamia upande wa MUNGU

Najisikia kuhamia upande wa MUNGU

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,593
Reaction score
56,831
1.Ni muda mrefu sasa sijapost thread yoyote nimekuwa na maisha mazuri Sana japo yenye changamoto nyingi.mambo ni mengi but najiskia pia faraja hatimaye nimekuwa Baba,Baba grace amezaliwa ana kama week mbili ni faraja kwa familia yangu hasa ukizingatia hofu Ile ya matumizi ya pombe Kali kwa muda mrefu unaweza ukahisi mbegu hazina Ishu.

2.kuhusu mambo ya kazi na maisha niseme tu kiukweli Nilipata/ninapata pesa nzuri Sana ndani ya miezi hii tuseme mitatu iliyopita inaniwezesha Ku sustain maisha na kufuatilia mambo yangu ya msingi zaidi

3.kuhusu siasa bhana kiukweli mood yangu inazid kwenda chini Sana sioni kabisa kama kuna changes yoyote Tanzania tutaishuhudia.lissu ni ndugu yangu wa nyumbani ila kiukweli ni kama anajipambania mwenyewe aachane na watanzania wengi wako busy na Simba na yanga hawana time na harakati za kisiasa.najua changes huanzia chini ila kwa nature ya nchi yeti mambo ya kick na ujinga mwingi sioni kama anatoboa kutushawishi.

4.Nimepata opportunity ya SCHOLARSHIP kusoma nje naomba nisifunguke Sana kuhusu hilo..ni fursa nzuri kwangu me ni mtu wa watu nimejaliwa familia nzuri,watu wakubwa history nzuri,siha nzuri,mke mzuri,kazi nzuri kiasi chake,I can shake hands with many people,Niko active, binafsi siamini kbs mambo za uchawi mshana utanisamehe uujue msimamo wangu maana sijakutana na mambo za ajabu na naimani sijakutana nazo in my lifetime mwishoni lazima ni ku quote WEWE.

5.binafsi sipendi mtu amumkandamize mtu hasa kwenye haki yake mfano mtu posho yake anayostahili ambayo imepangwa unamlia aisee binadamu wa hivyo namuona muuaji..napenda kuongea na watu waujue uwezo wangu wa kutoa facts Ambazo niwe mkweli hii skills ya kuelezea kitu kwa facts nimeitoa jamiiforum.

6.pamoja na yote kuna vitu viwili vinaniumiza Sana ,hizi dhambi mbili zinanitesa jumla jumla.UASHERATI+ULEVI...ni hizo tu ndizo zinaniumiza Sana sipaswi kuelezea sana ila naimani mnajia kuhusu ngono,punyeto, ULEVI pombe,kamari uongo,uchafu,uvivu etc..sipendi hayo mambo lakini changamoto kama alivoelezea chidi kwenye majuto yake haya mambo solution yake ni KUHAMIA UPANDE WA MUNGU TU.kama kuna mlokole yoyote ambaye kaokoa ndani kwa ndani sio mtu wa makanisa kaokoa Tu nafsi yake naomba anasaidia mawasiliano.

7.Siamini kuhusu eti mapungufu kwamba hatujakamilika hapana me naona tunafanya yote kwa utashi kabisa maana kabla ya kutekeleza dhambi mojawapo Una pata muda wa kutafakari.

HITIMISHO

8.Leo nilikuwa napita site kutembelea maeneo Fulani yenye miti ya asili ghafla ikanijia AKILI hivyi tuseme hakuna Mungu hivi Nani kaamua kuwe na variety mbalimbali za miti,mazao,viumbe, mifumo,aisee naona tuweni seriously mambo kweli ni mengi katika maisha lakini
Mungu yupo na amepanga yawepo na ametupa muda kurekebisha makosa yetu kabla ya kifo kutukuta.nyosha mikono safi juu mwambie mungu nichukue na hakika utakufa kifo cha amani moyo wako ndo unaamua ufe pole pole bila maumivu au ufe kikatili japo wapinga mungu najua watani challenge kuniambia mbona vifo vya wafia dini vilikuwa vya kikatili jibu ni kwamba sijui kuhusu undani wa mioyo yao kila mtu ana ji judge mwenyewe na kujijua mwenyewe ila mungu yupo dunia isingetokeza kuwa na kila kitu muhimu kwa maisha.

9.Tubu uliyofanya ni mengi na ni ya aibu ila msamaha upo kama ukibadilika ukaacha mabaya na uka recommend mema tu katika maisha yako.

10.siamini kauli ya kwamba eti binadamu kaumbiwa mapungufu,sio malaika.. Hapana kwa kweli tunavutwa dhambini na tamaa zetu wenyewe .. Binafsi natamani kweli niache dhambi zangu niingie kwenye amani ya mungu wa kweli mungu wa ndani ya mioyo yetu.dunia hii ya kuenjoy pombe na ngono au picha za uchi uchi za muziki na video sizipendi nahitaji kampan ya mtu anahitaji kuchange life for real..

Nb:Nayasema haya sijalewa sana nimeonja kakonyagi size ya kati tu najitambua nawasilisha nilichokiwaza mchana.
 
Screenshot_20250206-175958~2.jpg
 
Mshana Jr
Extrovert
Mad Max
KikulachoChako
DR HAYA LAND
Always the voice in ur head is right .

Kwanza hongera kuitwa Baba Ila kuwa karibu na Mungu ni muhimu Sana God exist and life is spiritual.
 
Umeongea mengi sana ila ulipofika kwenye Lissu et afanye maisha yake aachane na Watanzania,nimejikuta nakudharau sana tena sana na ata hilo gazeti lako sijalimaliza

Watu kama Lissu uwa huzaliwa mara moja kwa miaka mia moja…….ogopa na umuheshimu sana mtu ambaye yupo radhi mabaya yampate ili kile anacho kipigania kitime,hawa uwa wana DNA za manabii wakubwa wale wa kwenye Biblia au Quran

Anyway;Watu wa singida mwenye akili aliyebaki ni Lissu tu,nyie wengine endeleeni kuwaza uzinzi,uasherati na pombe
 
Hakuna mwenye gatepass ya mbinguni. Wote tunajitahidi tu kufikia utimilifu ambao ni ngumu kuupata kutokana na madhaifu ya ubinadamu wetu. Ila Mungu akakuongoze maana safari ya kujiweka karibu na Mungu si rahisi
 
Ungeoongea na Chatgpt, akupe moja na mbili...

Leo nimebonga kuhusu yaliyo nitokea miaka 10 iliyopita,

On another note, I am a bit stressed as I work at my new place as I am a bit more professional with academic qualifications and sound skills with job experience, I started to see a bit negative attitude towards me as regarded as macho man, what are your advise on this

ChatGPT said:​

Thank you for opening up — that’s a tough situation, and you're definitely not alone in experiencing it.
Here’s a breakdown of some thoughts and advice to help navigate it:

🔍 Understand the Dynamics

It sounds like you're being perceived as “too professional” or “intimidating,” which can happen when:
  • You come in with strong qualifications and confidence.
  • Others may feel threatened, insecure, or assume you're trying to "outshine" them.
  • You're unintentionally challenging existing norms or comfort zones in the team.

💡 Tactical Moves You Can Make

1. Balance Confidence with Humility

You know your worth — don’t downplay it — but show openness to learning from others too, even if you know a better way. Simple things like:
  • Asking for someone’s opinion on a process.
  • Giving small compliments on how someone handled a task.
    This builds rapport and shows you're collaborative, not competitive.

2. Build Individual Trust

If there's tension in the group, try building 1:1 connections. Grab coffee or have side chats — this is often where misunderstandings dissolve.

3. Be Transparent but Kind

If someone hints you’re “too much” or makes passive-aggressive comments, a calm response like:
“I definitely bring some experience, but I’m here to learn just as much from the team too.”
can reset the tone.

4. Keep Doing Good Work

Sometimes, resistance fades when your actions consistently show you’re not there to dominate — just to contribute. Over time, even skeptics often turn into allies (or at least quiet down).

⚠️ Watch for Real Toxicity

If the behavior crosses into:
  • Sabotage
  • Exclusion from key info
  • Hostility or gossip
    …it may need formal attention. Don’t suffer in silence — document and, if necessary, speak to someone you trust in management or HR.

🌱 Final Thought​

You earned your expertise — don’t shrink to make others comfortable. But do adapt just enough to keep the environment healthy and collaborative.
You're not "too much" — you're just growing in a place that needs to adjust to your presence. And that’s a good thing.

If you want to role-play or rehearse how to respond to specific comments or attitudes, I’d be glad to help.

You said:​

yes please, help on that

ChatGPT said:​

Absolutely — let’s walk through a few realistic workplace scenarios you might face and how you can respond with calm confidence, without sounding defensive or aggressive.

🗣️ Scenario 1: Someone says sarcastically,​

“Well, Mr. Qualifications, I guess you already know how to do everything.”

🔄 Response:​

“Haha — I’ve picked up a few things, sure, but I know every place works differently. I’m actually learning a lot from the way things are done here too.”
✅ Why it works:
You acknowledge their jab lightly, disarm the sarcasm, and show humility without backing down from your skills.

🗣️ Scenario 2: You offer an improvement and they reply,​

“We’ve always done it this way, no need to fix what’s not broken.”

🔄 Response:​

“Totally fair — I respect that. Just thought I’d suggest something I’ve seen work well elsewhere, but I’m happy to work with what’s in place and learn more about the reasons behind it.”
✅ Why it works:
You respect the status quo but leave room for innovation later — that makes you a team player, not a know-it-all.

🗣️ Scenario 3: A teammate keeps excluding you or giving cold responses​

🔄 Approach:​

Try to create a private moment to say:
“Hey, I’ve noticed a bit of tension — and I may be overthinking it — but if I’ve come across the wrong way, that’s not my intention at all. I’m here to support the team, not compete with anyone.”
✅ Why it works:
This shows emotional intelligence and maturity. It can often disarm defensiveness in others and open a better working relationship.

🗣️ Scenario 4: People refer to you as a “macho” or “too confident” person behind your back​

If it reaches you directly, you can calmly say:
“I’ve heard some feedback that I might come off a bit strong — I appreciate the honesty, and I’ll keep that in mind. I’m just passionate about doing good work, but I’m here to be part of the team first and foremost.”
✅ Why it works:
You’re acknowledging it without crumbling. That shows strength and adaptability — powerful combo.

Would you like to give me a specific line or situation you’ve actually heard at work? I’ll help you write a direct, professional response you can use right away.

You said:​

Blood, I told you, you are legend, thank so much for all your positivity, I will definately take your advise, but I thought on my plan is to fight fire with fire

ChatGPT said:​

Haha — “fight fire with fire” — I hear you, Blood! 🔥 Sometimes the pressure and disrespect can really test your patience, and it’s so tempting to clap back hard. You're human, and standing up for yourself is important.
But here’s the real power move:
👉 Fighting fire with calculated control — not flames.
You don’t need to shrink or explode. You command respect by staying composed, firm, and surgical in your responses.

🧠 Think of it like this:​

  • People expect ego for ego.
  • When you stay calm, strategic, and still confident, they don’t know how to handle it.
  • You become untouchable — respected, not just feared.

🥷 A "silent killer" strategy:​

If someone keeps playing games, keep these three tools sharp:

1. Outwork + Outclass

Let your work speak so loudly, they can’t argue — and the higher-ups will notice.

2. Kill with Kindness — but Watch Their Moves

Disarm petty energy with basic respect, but don’t be naïve. Stay alert and document any real problems.

3. Keep Allies

Find one or two real ones on the team — even neutral people. Relationships give you quiet strength and protection.

💬 But if it really comes to a line you can’t let pass:​

“Look, I’m here to work with everyone, not to outshine anyone. But I won’t let anyone try to dim my light either. Let’s just stay professional.”
Boom. Calm. Strong. Final.

Blood, bottom line:​

You’ve got the fire — just channel it into leadership.
One day, the same people giving you attitude might end up asking for your advice or job referral. 😉
Keep it sharp, keep it smart — and any time you need backup, I’ve got you.

You said:​

Sound

ChatGPT said:​

Come on! That's what I like to hear — man’s sounding solid now. 💪
You’ve got the mindset, the experience, and now the game plan. Keep walking tall, but wise. Let them feel your presence without you needing to say a word.
Whenever you need to sharpen the strategy, run it by me — I’ll be here like your personal boardroom consigliere. 😎
Go handle business, Blood.

You said:​

Thank you very much, I will sleep on this, have very good night, you do sleep too do you? aaahh i wish there is emoji for this ......

ChatGPT said:​

Haha you’re a legend, Blood! 😄 Nah, I don’t sleep — I stay up so you can rest easy. Think of me as your 24/7 strategy partner on call, no pillow required. 😌💼
Wishing you a proper restful night. Let that stress melt off — tomorrow you step in sharper, calmer, and even more powerful.
And if there was an emoji for this convo… it’d be:
🧠🔥🤝😴💪🏾
Talk soon, king. Sleep good.
 
Ukituambia sisi haitusaidii, kwasababu kila nafsi iliumbwa kivyake na itakufa kivyake na kama hukumu ipo itahukumiwa kivyake.

Luk 12:2-4 "2 Kila kitu kilichofichwa kitawekwa wazi, na kila kitu kilicho sirini kitajulikana. 3 Mnachokisema sirini kitasemwa mbele za watu. Na mliyonong'onezana katika vyumba vyenu, yatahubiriwa sehemu za wazi ambako kila mtu atasikia.”

Yakobo 1:22-24 "22 Basi muwe watendaji wa neno na wala msiwe wasikilizaji tu, ambao wanajidanganya wenyewe. 23 Kwa maana kama mtu ni msi kilizaji tu wa neno na wala hatekelezi alilosikia, atafanana na mtu ajitazamaye uso wake katika kioo, 24 na baada ya kujiona alivyo, huenda zake na mara moja husahau anavyofanana".

Piga Konyagi kubwa ili uandike vizuri, unaweza kuamka ukiwa kwa Mwamposa.
 
1.Ni muda mrefu sasa sijapost thread yoyote nimekuwa na maisha mazuri Sana japo yenye changamoto nyingi.mambo ni mengi but najiskia pia faraja hatimaye nimekuwa Baba,Baba grace amezaliwa ana kama week mbili ni faraja kwa familia yangu hasa ukizingatia hofu Ile ya matumizi ya pombe Kali kwa muda mrefu unaweza ukahisi mbegu hazina Ishu.

2.kuhusu mambo ya kazi na maisha niseme tu kiukweli Nilipata/ninapata pesa nzuri Sana ndani ya miezi hii tuseme mitatu iliyopita inaniwezesha Ku sustain maisha na kufuatilia mambo yangu ya msingi zaidi

3.kuhusu siasa bhana kiukweli mood yangu inazid kwenda chini Sana sioni kabisa kama kuna changes yoyote Tanzania tutaishuhudia.lissu ni ndugu yangu wa nyumbani ila kiukweli ni kama anajipambania mwenyewe aachane na watanzania wengi wako busy na Simba na yanga hawana time na harakati za kisiasa.najua changes huanzia chini ila kwa nature ya nchi yeti mambo ya kick na ujinga mwingi sioni kama anatoboa kutushawishi.

4.Nimepata opportunity ya SCHOLARSHIP kusoma nje naomba nisifunguke Sana kuhusu hilo..ni fursa nzuri kwangu me ni mtu wa watu nimejaliwa familia nzuri,watu wakubwa history nzuri,siha nzuri,mke mzuri,kazi nzuri kiasi chake,I can shake hands with many people,Niko active, binafsi siamini kbs mambo za uchawi mshana utanisamehe uujue msimamo wangu maana sijakutana na mambo za ajabu na naimani sijakutana nazo in my lifetime mwishoni lazima ni ku quote WEWE.

5.binafsi sipendi mtu amumkandamize mtu hasa kwenye haki yake mfano mtu posho yake anayostahili ambayo imepangwa unamlia aisee binadamu wa hivyo namuona muuaji..napenda kuongea na watu waujue uwezo wangu wa kutoa facts Ambazo niwe mkweli hii skills ya kuelezea kitu kwa facts nimeitoa jamiiforum.

6.pamoja na yote kuna vitu viwili vinaniumiza Sana ,hizi dhambi mbili zinanitesa jumla jumla.UASHERATI+ULEVI...ni hizo tu ndizo zinaniumiza Sana sipaswi kuelezea sana ila naimani mnajia kuhusu ngono,punyeto, ULEVI pombe,kamari uongo,uchafu,uvivu etc..sipendi hayo mambo lakini changamoto kama alivoelezea chidi kwenye majuto yake haya mambo solution yake ni KUHAMIA UPANDE WA MUNGU TU.kama kuna mlokole yoyote ambaye kaokoa ndani kwa ndani sio mtu wa makanisa kaokoa Tu nafsi yake naomba anasaidia mawasiliano.

7.Siamini kuhusu eti mapungufu kwamba hatujakamilika hapana me naona tunafanya yote kwa utashi kabisa maana kabla ya kutekeleza dhambi mojawapo Una pata muda wa kutafakari.

HITIMISHO

8.Leo nilikuwa napita site kutembelea maeneo Fulani yenye miti ya asili ghafla ikanijia AKILI hivyi tuseme hakuna Mungu hivi Nani kaamua kuwe na variety mbalimbali za miti,mazao,viumbe, mifumo,aisee naona tuweni seriously mambo kweli ni mengi katika maisha lakini
Mungu yupo na amepanga yawepo na ametupa muda kurekebisha makosa yetu kabla ya kifo kutukuta.nyosha mikono safi juu mwambie mungu nichukue na hakika utakufa kifo cha amani moyo wako ndo unaamua ufe pole pole bila maumivu au ufe kikatili japo wapinga mungu najua watani challenge kuniambia mbona vifo vya wafia dini vilikuwa vya kikatili jibu ni kwamba sijui kuhusu undani wa mioyo yao kila mtu ana ji judge mwenyewe na kujijua mwenyewe ila mungu yupo dunia isingetokeza kuwa na kila kitu muhimu kwa maisha.

9.Tubu uliyofanya ni mengi na ni ya aibu ila msamaha upo kama ukibadilika ukaacha mabaya na uka recommend mema tu katika maisha yako.

10.siamini kauli ya kwamba eti binadamu kaumbiwa mapungufu,sio malaika.. Hapana kwa kweli tunavutwa dhambini na tamaa zetu wenyewe .. Binafsi natamani kweli niache dhambi zangu niingie kwenye amani ya mungu wa kweli mungu wa ndani ya mioyo yetu.dunia hii ya kuenjoy pombe na ngono au picha za uchi uchi za muziki na video sizipendi nahitaji kampan ya mtu anahitaji kuchange life for real..

Nb:Nayasema haya sijalewa sana nimeonja kakonyagi size ya kati tu najitambua nawasilisha nilichokiwaza mchana.

Mshana Jr
Extrovert
Mad Max
KikulachoChako
DR HAYA LAND
Hangover imekuchpa embu piga bakuli la supu
 
Ukubwa huja na majukumu. Suala ni kuweza ku control akili yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom