hahahahha jamani si nimesema na pendelea pesa, pesa kila mtu anapendelea hata awe na 60, 40, 20 hiyo ni zawadi pendwa hahahahaitapendeza zaidi na kaumli ukakaandika...ili kurahisisha na aina za zawadi mbalimbali
Mungu akulinde ufike hiyo kesho. na wewe unapendelea zawadi kama niipendayo mimi?hongera sana mkuu, MUNGU akupe maisha marefu.. Yangu ni kesho 12/5
Barikiwa mtani wangu, ahsante sana kwa kunipa neno la furaha.happy birthday CHIKIRA MTABARI..
pesa sina wala maua ila neno langu tu litakupa furaha
amina nawe pia barikiwa mtaniBarikiwa mtani wangu, ahsante sana kwa kunipa neno la furaha.
Ahsante "damu changa" nashukuru sanaHongera sana mkuu.
Happy birthday
Japo wengine wanasema tusifurahi birthday kwa kuwa ndio siku za kuishi zinazidi kupungua, hahahahahahaamina nawe pia barikiwa mtani
ha hahaha hata usipo furahi zitapungua tuJapo wengine wanasema tusifurahi birthday kwa kuwa ndio siku za kuishi zinazidi kupungua, hahahahahaha
Ahsante sana MeainKempf, umenena kweli kabisaHongera kwa kuongeza kasi ya kuukaribia ushaibu (kuwa kikongwe). Ongeza mbio zaid next year.
Ahsante sana Bonny barikiwa sanaHeri ya siku ya kuzaliwa mama
wachaga kwa ubahiri!! jana sikukupa laki ww umeishaje..?happy birthday CHIKIRA MTABARI..
pesa sina wala maua ila neno langu tu litakupa furaha
Ahsante rafiki yangu Ngushi, ya kwako ikifika unikumbushe nikutumie zawadi, tena uwe wazi unapenda zawadi gani (ila iwe affordable) hahahahahahahah, usije ukasema gari aina ya hammer tehe tehe. yote kwa yote ahsante sana my rafikiWaooooo hongera sana Chikira.....
Kumbe tumezaliwa mwezi mmoja! Mi yangu tarehe 21/5
Enjoy ur day
ishaingia kwenye mahesabu imeishawachaga kwa ubahiri!! jana sikukupa laki ww umeishaje..?