Zombie Sikutaji Humu Eeh
JF-Expert Member
- Jul 2, 2024
- 228
- 667
Kata kabisa mazoea naye, ukipita mwezi na yeye hajakutafuta basi focus na mambo mengine kiongoziMbaya zaidi sijawahi kumbandua 😮💨
Fanya kile Moyo wako unatakaWakuu kunakipindi unafika unampenda mtu na mnaweka malengo ya kuwa pamoja kuna dada mmoja nilikutana nae na nilimpenda kweli tuliweka malengo mengi na tulipitia mengi pamoja ila tuliachana na tukarudiana na mengine mengi
Ni miaka na yule binti alipata maisha kabla yangu (uchumi) japo kwa sasa namzidi mara 4 ya kile anachopata ila still nampenda for real
Kusema kweli ni mtu ambaye hajali na ni kanakwamba najipendekeza kujichatisha nae coz hata motisha hana
Namjuliaga hali tu nakosa cha kusema lakini ni kwamba kama vile nahisi nahitaji kuwa nae je nikimwambia tena turudiane ni udhaifu au nijikaze tu kiume mambo mengine yaendelee
Marafiki wanasema achana nae, wengine acha tu utaonekana kujipendekeza ila mimi sasa najikutaga muamba ila nikikaa mwenyewe nammiss why
Yani nisipo mtafuta uwii poa sema nitaanza kukaakimyaKata kabisa mazoea naye, ukipita mwezi na yeye hajakutafuta basi focus na mambo mengine kiongozi
Natamani niachane na kumfikira ila sasa siwezFanya kile Moyo wako unataka
Unataka kusemajeendelea kujipendekza, mtumie hela haduhakikishe unashinda njaa, ukishaona huna kitu na bado akili haikai sawa mhonge nyumba yenu anaweza akakuelewa.
DahJaribu tena. Ndoa karibia zote ni kamari. Inaweza kukulipa au kukulipua. Either way, utapata uhakika wa ukweli wa feelings zako.
Mbaya zaidi sijawahi kumbandua 😮💨
Vituko hiviUnamzidi mara 4 kipato chake kwa kubet au?
Mtafute mueleze ukweli huenda atakuelewa. Jali Moyo wako kwanza..Natamani niachane na kumfikira ila sasa siwez
Ndio ninachotaka nafikiri baada ya hapo nitakuwa na unafuuKama hujawahi kumbandua kaza/jipendekeze hadi umkaze
Nakusihi zingatia huu ushauri nduguyangu.Kata kabisa mazoea naye, ukipita mwezi na yeye hajakutafuta basi focus na mambo mengine kiongozi
Niliachana na michezo ya stressUnamzidi mara 4 kipato chake kwa kubet au?
Kwani kunauchumi gani zaidi ya incomeUchumi gani huo ambao umemzidi mara 4?