katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Mpaka ifike 2021 watazidi kama siafuSawa mkuu chezea vizuri huo mtalimbo usije ukakuletea madhara single mother wa huku kitaa wanatosha
😳Mpaka ifike 2021 watazidi kama siafu
sio mchwa?Oops?
Tafadhari sana usije kuwa single mother maana tutakuchapa kwa kigezo cha kumpenda mwanaoMpaka ifike 2021 watazidi kama siafu
Kwanini??Afadhali
Siwezi kwetu laaanaTafadhari sana usije kuwa single mother maana tutakuchapa kwa kigezo cha kumpenda mwanao
Kubali basi nije nikuoe katoto kazuriSiwezi kwetu laaana
Sitaki iiiiiKubali basi nije nikuoe katoto kazuri
Nipe sababu moja tu kwa nini hutakiSitaki iiiii
Kwanini??
Wewe kama wewe umechelewa tayari kutwa na toa mabango humu nahitaji mtu huwi serious ila kaja mtu serious nahana mtoto wala mke wala wakuzugia umeona nikija mtanashati mwelewa mcha Mungu na mengi tu ndio kanikubali the way i am tena yupo maeneoa ninayoishi.Nipe sababu moja tu kwa nini hutaki
Sawa boss wangu wa kupost kama nimekukosa wewe sioi tenaaWewe kama wewe umechelewa tayari kutwa na toa mabango humu nahitaji mtu huwi serious ila kaja mtu serious nahana mtoto wala mke wala wakuzugia umeona nikija mtanashati mwelewa mcha Mungu na mengi tu ndio kanikubali the way i am tena yupo maeneoa ninayoishi.
Ila ukweli kuhusu wewe kantwe unapenda masifa kujiona na pia unapondeaga wenzako kama wewe unachocomment cha maana mimi sipost ili wewe usome mimi napost ili wasome wanaoona wamaana na let me tell you something one thing maishani usiishi wanadamu wanavyotaka just ishi kama kama wewe unavyotaka.Tupumzike na nyuzi zisizo na mbele wala nyuma
Acha kujifanya pilato kwamba huna maamuzi juu yauoaji wako.Sawa boss wangu wa kupost kama nimekukosa wewe sioi tenaa
UtajijuIla ukweli kuhusu wewe kantwe unapenda masifa kujiona na pia unapondeaga wenzako kama wewe unachocomment cha maana mimi sipost ili wewe usome mimi napost ili wasome wanaoona wamaana na let me tell you something one thing maishani usiishi wanadamu wanavyotaka just ishi kama kama wewe unavyotaka.
Namaisha sio kuogopa watu nikuface watu .
Kwa hiyo wewe sio mtu wa kuniambia chakufanya kwa sababu hata hili bando hujalinunua wewe.