Najiona mjinga sana:

Najiona mjinga sana:

Mlengeshe kwa rafiki yako aliye serious na maisha baada ya muda mfupi utajutia makosa yako
 
Halafu wanaume sijui huwa kinawakuta nini mie nashindwa kuwaelewa maana mtu anaweza akakubadilikia mpaka ukajishangaa mwenyewe
 
Na siku akiwa kwa mwingine utampenda zaidiiii
 
Kaka tukusaidie kwa lipi,mbona unaleta mada za kitoto?ulimpenda au ulimtamani?
Hujui kama nao wanaumia kama sisi tunavoumia?
 
Matarajio yako kwake hayakutimia. Subconsciously hulijui hilo. Yawezekana binti ni baridi (hakusisimui). Fanya ufanyavyo muachane mapema. Ila akidhurika kwa ajili yako hatia itakuwa juu yako
 
Back
Top Bottom