Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,808
- 38,860
Kwakweli nikiri kwamba huyu msichana ananipenda sana, hata mimi najua ananipenda.
Nlimpata kwa taabu sana, ingawa haikuchukua mda mrefu sana. Tatizo ni kwamba baada ya kumpata nimekuwa simpendi kabisa, nakuwa na hasira nae sana, namkasirikia hata bila sababu, namfokea bila sababu. Roho inaniuma lakini nakuwa sina jinsi. Nmekuwa nikijaribu kujizuia kuonesha hisia nlizo nazo kwake, lakini bado roho inanisuta, najiona namuonea sana!
Lakini pamoja na hayo yote badao yeye anazidi kunipenda. Nmemwita ili nimwambie kwamba tuachane na mahusiano ya kimapenzi tubaki marafiki wa kawaida. Nmemwambia kuwa mm nataka nipate muda wa kuhangaikia masha yangu kwanza, binti amegoma na ametishia kujiua. Najiona mjinga sana, binti ananipenda lkin mm simpendi.
Nisaidie wadau nitumie lugha gani rahisi apate kunielewa bila kinyongo?