Najiona mjinga sana

Asante mkuu umenena vyema sana nadhani atakuwa amekuelewa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana.
Ila naomba usijilaumu, hukujua hata ww ndiyo maana ukajikuta umeungia kwenye mahusiano. Usijione mkosaji sbb mapenzi yana mambo mengi sana mazuri na mabaya.
Chukulia hili ni funzo la kukufungua macho. Uzuri au upole wa mtu haumfanyi mtu kuwa na true love. Ili kuepukana na upweke huu. Sikiliza muziki na changamana na watu. Ukipata movie zile za mr bean, charlie chapline, na zingine za vichekesho itakusaidia sana.
Pole, mapenzi ndiyo yalivyo. Najua umejisikia vibaya ila next time itakuweka pazuri sana.
 
Unaonaje ukimuonjesha utamu na Raimundo kama Mara 3 hivi?
 
Usijiingize mzima mzima kwenye mapenzi wakt bado hujamjua mtu....mwezi ni mdogo sana kusex nae mtu kam huyo ungemgundua mapema tu. ungemnyima tu angeshasepa mana alikua hakupenda
Nb.usipende kujirahisisha hata kam umempenda vip mtu
 
Nimefurahi amekukula mara 3 haraka haraka kama anakimbiza mwizi... ntamwambia next time akupige kachabali utatulia... hahahπŸ™„πŸ™„ πŸ˜€ πŸ˜‰
 
Pole sana, wewe ulimuona mpole na mstaarabu kumbe ilikua ni chambo cha kukupanua paja..

Kweli bora tuu ujidharau.!!!
 
Usijiingize mzima mzima kwenye mapenzi wakt bado hujamjua mtu....mwezi ni mdogo sana kusex nae mtu kam huyo ungemgundua mapema tu. ungemnyima tu angeshasepa mana alikua hakupenda
Nb.usipende kujirahisisha hata kam umempenda vip mtu
Lengo la kuombana ni kupeana sijui mnalenga nini msemapo usijirahisi ni bola kumpa mtu makavu kuliko kumringia kwanza hafu ndo umpe
 
Shukuru Mungu unajiona mjinga, kwani mjinga anaweza kuelimishwa. Wakati mpumbavu huyo piga ua hataelimika ng`o!.

"Mwalimu Nyerere (RIP), alisema tofauti kati ya mjinga na mpumbavu ni kwamba mjinga unaweza kumuelemisha akawa mtu bora lakini mpumbavu huwezi. Mpumbavu ni sawa na jinsi mtu alivozaliwa, mrefu au mfupi, huwezi kubadilisha hili".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…