Ufaulu wako ukoje?Na jiona mjinga sana kwa kukosa chuo mwaka huu
Kweli wewe ni mjinga ndiomaana ukakosa chuo, na sio nafasi ya chuo....tehteehh


Ufaulu wako ukoje?
vp awamu ya tatu hujaomba?Na jiona mjinga sana kwa kukosa chuo mwaka huu
Dah Pole, Lakn Usife Moyo Utakutoka
Pole sana ndugu hapo ni shida shida sana kupata chuo kuna dogo pcb anaushindi mzuri amekosa chuo , tukamshauli abadili kozi akaweka mpaka koz nyingine za science hadi IT pia wamemkataa sasa hivi anarudi kusoma diploma , huwa sipendi kumpa mtu habari mbaya lakini usikate tamaa sometimes miujiza hutokea , unahitaji kutumia akili sana katika kuchagua kozi pamoja na chuo.CBG-DDE
vp awamu ya tatu hujaomba?
Pole sana ndugu hapo ni shida shida sana kupata chuo kuna dogo pcb anaushindi mzuri amekosa chuo , tukamshauli abadili kozi akaweka mpaka koz nyingine za science hadi IT pia wamemkataa sasa hivi anarudi kusoma diploma , huwa sipendi kumpa mtu habari mbaya lakini usikate tamaa sometimes miujiza hutokea , unahitaji kutumia akili sana katika kuchagua kozi pamoja na chuo.
TCU wapumbafu kweli. Mfumo wa elimu Tanzania ni wakipumbafu kabisa duniani. SMH
Mkuu usife moyo, ingia online kuna scholarships kibao ngoja kuna uzi nitakuletea link hapa labda unaweza kupata msaada.
Cha muhimu ni kutokukata tamaa
Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates) - JamiiForums
Duh imekuaj mkuuNa jiona mjinga sana kwa kukosa chuo mwaka huu
Duh imekuaj mkuu
jinga kweliNa jiona mjinga sana kwa kukosa chuo mwaka huu
Usikate tamaa bado kuna nafasi mbele ya safari. Anza na stashada (diploma) ukimaliza hiyo kwa ufaulu mzuri utasoma shahada. Pole sana na songa mbele badala ya kujilaumuCBG-DDE