Najidakia store wanauza vitu used vifuatavyo

Najidakia store wanauza vitu used vifuatavyo

Job Richard

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
3,875
Reaction score
2,203
Piga 0762612213 mbezi beach dsm

computer desktop ram 4gb HDD 500 na processor i3 320,000 tu CPU Ndogo

Tv flat Samsung nchi 50 million moja na Laki moja tu

Friji zipo tatu moja ya kioo Laki mbili na sabini tu unaipata
mzani Wa dukani Mpya kabisa Laki moja na 10

sabufa Mpya na box lake 145000
ina kila kitu

mtungi Wa gas camel gas elfu 48 tu
ving'amuzi dstv,star times
deck zipo za kutosha kuanzia elfu 45
kitanda cha Mbao ft 5*6 Laki moja na 30 tu
godoro Laki moja na 10 tu
kitanda cha chuma ft 6*6 Laki nne godoro la ft 6*6 Laki mbili tu

meza za Tv na feni pia vipo tupo mbezi beach 0762612213
IMG-20190711-WA0018.jpeg
IMG-20190711-WA0020.jpeg
IMG_20190627_175946.jpeg
IMG_20190627_175650.jpeg
IMG_20190622_211627.jpeg
IMG_20190627_180234.jpeg
IMG-20190613-WA0021.jpeg
IMG-20190529-WA0005.jpeg
IMG-20190524-WA0031.jpeg
 
Kutoa watu hofu, sema kwann/ sababu ya unauza vitu vyote hivyo kwa mkupuo
 
Mkuu, hyo samsung inch 50 ambayo ni milion moja na laki moja..ndo hyo ambayo ni plasma au kuna nyingne?
 
Back
Top Bottom