Najiandikia Barua

Mtanzanika

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
2,389
Reaction score
1,131
Mgonjwa wa akili alikuwa hospitali anaandika barua.Daktari akamuuliza "unamuandikia nani barua?"
Chizi akajibu "Najiandikia mwenyewe."

Daktari akaanza kucheka na kumwambia "Haya nieleze barua inasema nini?"
Chizi akajibu "Nitakuelezea vipi na barua yenyewe bado haijanifikia!"
 
Angemuuliza tena ni kwa jinsi gani ataituma na hadi kumfikia tena
 
Khe khe heeee khhhheeee........!
jioni imekua njema sana.
 
sijajua la kufanya bado..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…