Najiandaa kuwa Mume bora

Kiziwanda chema

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
290
Reaction score
478
Helo wadau Habarini

Napenda ku-share nanyi kuhus story hii yeny hekima na mafundisho

Kuna familia moja nzuri yeny baba, mama na watoto wao wakiishi kwa aman kabisa katika maisha Yao

Siku moja ukatokea ugomv Kati ya wazaz hao wawili, kama ujuavyo maisha ya ndoa hayakosi kasoro za hapa na pale.
Siku ya pili Mume kama Kawaida akajiandaa zake kuwah kazin, pamoja na hali ya ugomv wa jana yake kutomalizika.

Bahat mbaya au nzuri kazin kwake alitembelewa na wagen na kutokana na kufahamiana kwao ikamlazimu wakapate chakula cha mchana nyumbani kwake

Bas hakua na budi kuondoka na wageni wake hao hadi nyumbani kwake wakapate lunch. Aliamua kumpatia taarifa mke wake kwa ugeni aloupata Ili aweze kuandaa chakula cha kutosha.

Mke kwa hasira za ugomv wa jana yake Aliamua kuandaa chakula vizur ila Aliamua kwa kukusudia kutoweka chumvi kabisa kweny chakula.

Mda wa lunch ulipofika chakula kiliandaliwa vizur, na Mume kwa heshima ndo alikua wa Kwanza kula kile chakula, alipoonja tu alifaham kwamba Hamna chumvi kweny chakula

Kwa busara zake alichokifanya ni kuwaambia wagen wake kwmba "Samahan wageni wangu, mimi ninatatizo linalonifanya nisile chakula cheny chumvi, ndo maana mke amejisahau akijua Mm siitumii chumvi, hivyo nawaomba mjiwekee wenyew kwa kias kinacho watosha"

Baada ya wageni kuondoka, mke akarud kwa mkewe na kumwambia jins alivyofanya kwa wagen wake.
Mke aliona aib na kuomba msamaha na ugomv ukaisha.

Nataman kuwa Mume bora na sio bora Mume
 
jifunze, busara, hekima, uvumilivu, upendo na kumthamini....ukiweza utakuwa mume bora kama unavyopenda kuwa.....vile vile nakutakia safari njema kwa hatua hiyo unayopenda kuifuata...maana vijana wengi wanawaza ngono ila mawazo ya kuwa mume tena bore wengi huwa hawawazi hilo.
 
Usisahau kumuomba Mungu akupatie mkemwemamkemwema, kila laheri
 
....me too brother.........i can be
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…