Najiandaa kuhama nchi kwa muda

Nenda mkuu sie tupo sana, tunasubiri matunda ya nchi ya chama kimoja.
 
Huna ubavu wa kuondoka tanzania, tunakutegemea kwenye maandamano na tutakuweka mbele kabisa ili kuongoza majeshi ya chadema
Bwana Mbaga, unajua kitu kilichokua kinaitwa Mbiru? Kama wewe ni kijana unaweza usijue hiyo Resistance ya Wapare dhidi ya Wajerumani. Hebu jaribu kuuliza wazee wa zamani wa Pare. Mass Resistance hiyo ilitokea mwaka 1917. Ndicho kitu pekee cha Wapare kupinga ukoloni. Katika Thesis yangu ya Masters niliandika hicho kitu. Mmoja wa sorce wangu ni mzee mmoja alikuwa anaitwa Mbaga. Ndio maana nikakumbuka. Hali ilikuwa kama hii na ilikuwa lazima kuandamana na kumgomea (Resist) Bwana DC hapo Bomani Same. Walikuwa wanaresist manyanyaso na kodi mbalimbali hasa kodi ya kichwa. Kuna wazee wa kipare waliokuwa sio waoga, hawapendi manyanyaso, na walikuwa mstari wa mbele kabisa. Nitakusimulia zaidi siku nyingine tukionana. Wapare ni wajasiri sana.
 
😂😂😂 Mkuu nmekuelewa sana, ila kwa unavoona ww kuna mtanzania yeyote wa kuandamana.? halafu kwann tuandamane wakat tumepata tulichokuwa tunakitafuta.?
 
Sasa makamanda mnasepa wakati mlikubaliana mtaingia lodi?
au mtaandamana tu kimoyoni moyoni kama zamani?
Hakuna wa kuandamana hapa, wahusika wenyewe wapo makwao sa hv na maisha yao afu mpumbavu mmoja ety akaandamane aisee ntamshangaa sana
 

So sad mkuu
 
Bora kuhama ukakae na dikteta mzoefu kuliko dikteta uchwara ambae ndio anaanza kujifunza udikteta kamili coz ataua,atawasweka gerezani ,atafanya unyang'anyi wa kutisha ilimradi mumuogope ili alitaka kuibadilisha katiba 2024-25 kusiwepo na wa kufungua mdomo.
 
Niandalie njia ntakukuta huko. Tumevamiwa na magaidi wameshika nchi
 
Bora kuzaliwa ngedere Newyork kuliko kuwa mtanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…