Olumolongez JF-Expert Member Dec 19, 2015 818 299 Apr 3, 2016 #1 Najaribu nione kama nimeweza kuanzisha uzi.
Ngonidema JF-Expert Member Jul 30, 2015 2,708 2,677 Apr 3, 2016 #3 Hongra kwa kuweza,! Usjar Mkuu ndo Jf iyo
Olumolongez JF-Expert Member Dec 19, 2015 818 299 Apr 3, 2016 Thread starter #4 Haya bhana jumapili njema
Shindu Namwaka JF-Expert Member Sep 22, 2014 4,911 3,082 Apr 3, 2016 #5 Utashonea na cherahani au kwa sindano ya mkono?
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,035 Apr 3, 2016 #6 Hongera kwa kuweza mkuu, ongeza bidii ili uwe kama MKWEPA KODI
longi mapexa JF-Expert Member Jul 18, 2015 3,205 4,065 Apr 3, 2016 #7 umeweza mwenyewe ama uMEWEZESHWA
nyanjiiii Senior Member Aug 23, 2014 112 72 Apr 3, 2016 #8 Nilikuwa nimekasirika imenibidi nicheke t, haya asante kwa kujaribu