Najaribu kuwaza kwa Sauti,Makonda hana muda mrefu madarakani

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,749
8,996
Kutokana na kasi ya mitandao,matukio yanayofanana,Nape kutishiwa,Vyombo vya Habari kususia na Wabunge wa ccm kusema wazi sasa ni dhahiri mwisho wake umefika hata Mh Rais, nadhani analifikiria sana kwani hali siyo nzuri kabisa katika upande wake.
Haya ni mawazo binafsi.
 
Sawa kwa mawazo yako ila anayeamua ni yule anayepanga nani akae wapi kwa hiyo hata akivamia Bunge na kulilipua kama aliyempanga hatopenda kumtoa ndio basi maana kama hali mbaya ilishafika hajatoka. Mwacheni apige kazi
 
Labda afe huyo ndio kaimu raisi ...nchi imemshinda kabakia kuteka watu...
 
Kutokana na kasi ya mitandao,matukio yanayofanana,Nape kutishiwa,Vyombo vya Habari kususia na Wabunge wa ccm kusema wazi sasa ni dhahiri mwisho wake umefika hata Mh Rais, nadhani analifikiria sana kwani hali siyo nzuri kabisa katika upande wake.
Haya ni mawazo binafsi.
Makonda chapa kazi, nasema chapa kazi, usisikilize maneno ya watu, mimi sipangiwi na wala sishauriki, naamua mwenyewe....... JPM 2017 Ubungo
 
Kutokana na kasi ya mitandao,matukio yanayofanana,Nape kutishiwa,Vyombo vya Habari kususia na Wabunge wa ccm kusema wazi sasa ni dhahiri mwisho wake umefika hata Mh Rais, nadhani analifikiria sana kwani hali siyo nzuri kabisa katika upande wake.
Haya ni mawazo binafsi.
Mimi sikwenda shule sana lakini namshukuru mungu kwa kunipa uwezo wa kupambanua vitu kuzidi hata watu waliosoma na kuwa na haya madude mnayoyaita "T.H.D"(Ku Dipu).Mitanzania kwa uvivu wa kufikiria basi wameshikiwa akili na watu wachache kwa manufaa yao wao wachache.Tulianzia kwenye madawa ya kulevya,tukazugwa na vyeti vya makonda ili tupoteze timing tu focus kule,baadaye kelele za clouds,tukazugwa weee clouds clouds kila kona,ikaisha,tukaenda Nape Nauye Nape Nuye,hata mapinzani nayo ikajidai inamuhurumia.wiki hii Roma Roma hatuamki usingizini tukajua sisi wenyewe ni huku tulikoanzia kwa madawa wanatuzuga sisi?hawa watu hawashindwi kumteka mtu ili watu wajue ni mtu Fulani,wake up guys,au nyie ni wale walioandikwa kwenye bibilia?Wagalatia?Kuna kipindi tuliambiwa E.N.L ni fisaaad fisaaad ameoza hafai,baada ya muda ni mtu mzuri ni mtu mzuri,ni nani amepiga kelela bungeni kuhusu haya madawa?mbona hoja nyingine za kijinga zinatiliwa mkazo?lkama za Bashite,clouds,Nape na Roma?
 
Kutokana na kasi ya mitandao,matukio yanayofanana,Nape kutishiwa,Vyombo vya Habari kususia na Wabunge wa ccm kusema wazi sasa ni dhahiri mwisho wake umefika hata Mh Rais, nadhani analifikiria sana kwani hali siyo nzuri kabisa katika upande wake.
Haya ni mawazo binafsi.
Angekuwa JK ningekuelewa. Hiki chuma kinaposema hakipangiwi wala hakishinikizwi. Kuonesha kuwa hashinkizwi ulianza upumbavu wa ukuta. Alijibu sijaribiwi tena alivyokuwa tayari kwa mapambano alisema kwanini wameweka mbali kote wafanye kesho. Kuhusu Makonda alisema yeye huwa hapangiwi na akawambia acheni udaku. Nape akaendelea kumshinikiza nafikiri unajua sasa hivi anaongelea wapi.
 
Kutokana na kasi ya mitandao,matukio yanayofanana,Nape kutishiwa,Vyombo vya Habari kususia na Wabunge wa ccm kusema wazi sasa ni dhahiri mwisho wake umefika hata Mh Rais, nadhani analifikiria sana kwani hali siyo nzuri kabisa katika upande wake.
Haya ni mawazo binafsi.
Teka teka hii na vipigo .Na wasi wasi Fungate Lina siri nzito uenda mtekwa nyara mmoja amefia mkononi mwao haswa huyu Wa muda mrefu sasa.ndio maana ndoa inakuwa ngumu kuvunjika ,wasi wasi ukitoa talaka kwa mtunza siri .inakuwajee hapo ? Achilia mbali kuna damu ya mtu aiendi bure mpaka muuaji apatikane .kwa ufafanuzi zaidi jiongeze mwenyewe .vinginevyo hapa kazi tuu
 
Kutokana na kasi ya mitandao,matukio yanayofanana,Nape kutishiwa,Vyombo vya Habari kususia na Wabunge wa ccm kusema wazi sasa ni dhahiri mwisho wake umefika hata Mh Rais, nadhani analifikiria sana kwani hali siyo nzuri kabisa katika upande wake.
Haya ni mawazo binafsi.
Utawaza hadi utajiharishia kwa mawazo,Makonda wetu hatoki ng'o.
Mara usalama wa Taifa wamemteka Roma,mara Usalama wa Taifa wamevamia clouds,mnamuingiza Makonda wakati amiri jeshi mkuu wa hao usalama wa taifa mnamjua mnamuogopa,Mazwazwa kama nyinyi ndio mnaotuchelewesha,watu tumeshazika suala la Makonda wetu,yupo kazini anachapa kazi kama kawaida wewe unamuwaza Makonda!!.Fanya kazi wewe
 
Mkuu jamaa anakupiga nini mbona unamkubali sana?
 
Back
Top Bottom