Najaribu ku install androids apps kama whatsapp, na google play hazikubali

Najaribu ku install androids apps kama whatsapp, na google play hazikubali

optimist

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2009
Posts
284
Reaction score
107
wakubwa poleni na majukumu nimekutana na shida moja nina simu moja ya kichina
( huawei honor 10 lite) najaribu ku install androids apps kama whatsapp, na google play hazikubali mwenye ufaham
 
Kwani huna habari kwamba Huawei wamepokonywa umiliki wa Google play
 
Huawei hawajapokonywa umiliki wa Google mm ninayo huawei na bado inapiga mzigo kama kawa
 
Back
Top Bottom