Naj ni mwanamke mzuri sana

Naj ni mwanamke mzuri sana

Wewe umepanic na weupe wake tu, hebu assume ana rangi nyeusi ndio utajua kama ni mkali
 
Nyuma ya keyboard wengi wanajua kutoa kasoro wenzao!ukute wenyenye hawana uzur au mvuto wowote!khaa sio kwa mipovu hii
 
we mleta uzi ina maana hujui mzuri kwetu ni mwanamke wa aina gano?
Hapa lete sura mamba tabasam la ngiri ila chura wa kueleweka ndio tutaelewana lakininkwa hizo fito we puta nazi wala hatuonei wivu!tunataka wezele la kueleweka
 
Gano>gani
 
Gano>gani HAhahahahahaha duh mbavu zangu
 
Back
Top Bottom