Naiwekea TBC vikwazo vya kiutazamaji

Naiwekea TBC vikwazo vya kiutazamaji

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
pamoja na kuwa ni vituo vya kitaifa vya luninga na redio,TBC imejaa ujuha,ushabiki wa chama tawala,upotoshaji,unafiki na kulamba miguu ya MACCM.

kuanzia leo naweka vikwazo kwa TBC.sitasikiliza wala kutazama.
 
umelazimishwa kuitazama?
hiyo tv yako ina station moja tu?
 
pamoja na kuwa ni vituo vya kitaifa vya luninga na redio,TBC imejaa ujuha,ushabiki wa chama tawala,upotoshaji,unafiki na kulamba miguu ya MACCM.

kuanzia leo naweka vikwazo kwa TBC.sitasikiliza wala kutazama.

Hivyo vikwazo ungeviweka kwenye umalaya na pombe utakuwa mbali sana kimaendeleo.
 
pamoja na kuwa ni vituo vya kitaifa vya luninga na redio,TBC imejaa ujuha,ushabiki wa chama tawala,upotoshaji,unafiki na kulamba miguu ya MACCM.

kuanzia leo naweka vikwazo kwa TBC.sitasikiliza wala kutazama.
Usipoitazama wewe tuko watanzania wazalendo mamilioni, bado tutaitizama TV yetu ya taifa.
 
Back
Top Bottom