Jamaa mmoja alienda kufanya kazi kama house boy. Kwa mara ya kwanza alikutana na mama mwenye nyuma akamuuliza jina lake akamwambia naitwa mume wangu, alipokutana na binti wa mama mwenye nyumba akamwambia naitwa baba yangu na jioni baada ya baba mwenye nyumba kurudi akamwambia naitwa mimi. Basi siku moja mama mwenye nyumba aliwatuma house boy na binti yake kuteka maji mtoni. House boy akaona ni wakati pekee wa kunjimegea akambaka yule binti. Binti akasemelea kwa mama yake na mama yake akaipeleka kesi polisi mara moja. Kesi ikawa hivi.
Polisi. We mtoto nani kaubaka
Mtoto. Baba yangu
Polisi. We mama nani kambaka mtoto
Mama. Ni mume wangu.
Polisi. Baba wewe ndo ulimbaka mwanao
Baba. Hapana, ni MIMI
Baba akakamatwa na kupigwa ndani 30 yrs