Naitwa Jasmine, natafuta kazi

Naitwa Jasmine, natafuta kazi

IMG_2181.jpeg
 
Maisha yangu ni magumu ......... Naombeni msaada.
Daah..mimi kwenye suala la mtu kutafuta kazi nikishaonaga tu hizi kauli, hata nikiwa na kazi sikupi..

Mtu ambaye yuko driven na hizi motives ni ngumu sana kuwa loyal for the long run maana akishakaa tu sawa ndio utakuonyesha rangi zake zote. Ni ngumu sana kuwa loyal kwenye kazi labda kama utampa kazi kisha uendelee kumnyonya awe dependant kiasi kwamba aone hakuna maisha nje yako.

ofcourse kila mtu ana shida ndio maana tunatafuta na pia kufanya kazi au biashara, ila usionyeshe waz namna hii, maana kwa mtu smart hata kupa kazi, anaweza akakupa pesa tu ya skku 1 au 2 ukafie mbele maana tafsiri ya haraka kwa mtu wa namna hii, sio nzuri mara nyingi
 
Uko tayari kusafisha Banda la nguruwe Kila baada ya saa tatu Kwa laki tatu Kwa mwezi?
 
Mbona sasa heading na uzi unaonyesha muhitaji wewe?
Wewe inaonyesha hata hiyo picha ya huyo mdada umeweka ili uvutie lengo lako..!!
Itoe acha kudhalilisha watu..
Nilitaka nimuweke kwenye kijiwe changu cha chipsi, ila umeniogopesha
 
Nimemuuliza mara ya mwisho alikuwa anafanya kazi wapi ameingia mitini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom