Naitangaza harusi

Mkuu, Dah!!!! Acha kabisa kujitukana.

Wenzetu wameanza kupata shule kitambo sana wakati huo sisi babu zetu walikuwa wanatoana kafara kwenye madhabahu ya kijadi.

Hebu kwa mfano mdogo tu, soma historia ya huyu jamaa wa Bagdad:

Abu Abdullah Muhammad Ibn Musa al Khwarizmi
A stamp issued September 6, 1983 in the Soviet Union, commemorating al-Khwarizmi's (approximate) 1200th birthday. Mathematician, astronomer and geographer, a scholer in the HOUSE of Wisdom in Baghdad.

Some words reflect the importance of al-Khwarizmi's contributions to mathematics. "Algebra" is derived from al-jabr, one of the two operations he used to solve quadratic equations. Algorism and algorithm stem from Algoritmi, the Latin form of his name. His name is also the origin of (Spanish) guarismo and of (Portuguese) algarismo, both meaning DIGIT.

Kama ambavyo unaona hapo juu, neno ALGORITHM ambalo linatumika katika mpangilio wa uandishi wa Program za computer duniani huku wewe na mimi leo hii twatumia, ulitokea Baghdad. Enzi hizo, wenzetu tayari walishaanza ki-globalisation kidogo kwa kufanya biashara na mataifa ya mbali au kuwa na uhusiano nayo.
siku hizi hata waarabu wanasoma
 
Siku nyingi ahali yangu Labda nikupe picha yangu kamili na vazi langu la kila siku kazini. Nakukaribisha sana na nitakutafuta Ijumaa tano nitakapo fika dar es salaam

Sawa Dr. Hamza nimeksoma. Wakaribishwa sana usisahau kutuletea tende na mazulia kwa ajili ya ile masjid yetu.

Wakatabahu

Dr. Abdulhaleem al Hajj bin Jumaa bin Njelenje:pound: :pound: :pound:
 
kutakuwepo tende na harua?.je kutakuwepo vinywaji gani?sababu kinywaji ndo muhimu kabla ya yote.inshallah Mungu akitujalia.mia
 
kutakuwepo tende na harua?.je kutakuwepo vinywaji gani?sababu kinywaji ndo muhimu kabla ya yote.inshallah Mungu akitujalia.mia

Tena utaletewa zile tende zinazoitwa henezz kutoka Oamn.

Na bila shaka kutakua na vinjwaji vile vya halali vinavyompendeza Muumba.
 
Back
Top Bottom