Naitambulisha kampuni yangu kwa WanaJF

Naitambulisha kampuni yangu kwa WanaJF

mjasiliamali makini

Senior Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
105
Reaction score
134
Wakuu pole na miangaiko ya hapa na pale napenda kuitambulisha kampuni yangu mpya inaitwa FOEMA COMPANY LIMITED

Kampuni yangu itajihusisha na huduma zifuatazo:
-Growing of Vegetables and melons,roots and tubers
-Mixed farming
-Manufacture of grain mill products
-CATERING AND SERVICES
Hivyo basi naomba wanajf mnisaidie kwanza kwa mambo yafuatayo-;
=Jinsi ya kuandaa tenda docs na kupata tenda kwa ujumla.
=Pili jinsi ya kutengeneza mfumo mzuri wa usimamizi wa fedha.(digital)
=Pia tuko tiyali kwa kazi hivyo kama kuna mtu anatamani kufanya kazi na kampuni yetu tafadhali naomba usisite kututafuta

HUDUMA TUNAYOANZA NAYO NI,
(Catering services )hivyo natamani msaada hasa upande huu wa catering services
Kwa mawasiliano,,email companyfoema@gmail.com, mujuni2244@gmail.com
Ahsante na nitashukuru kwa kuniunga mkono.

20201010_135445.jpg
 
Catering service,

Una vifaa au uta outsource watu wa kupika ?

Tender zipo kote kwenye sector binafsi na serikalini.

Nakuomba sana EPUKA kufanya kazi na LGA Hawa wanasumbua malipo.

Tender documents ukipata Kuna sehemu unazijaza tu zinaeleweka hazihitaji kuelimishwa.
 
Mnafanya vitu gani na hadi hatua gani kwenye Growing of Vegetables and melons,roots and tubers?
Mnatoa ushauri, mbegu, kuweka miche ardhini na kuelekeza jinsi ya kuitunza au huduma zenu zikoje?
 
hizo tenda document zinapatikanaje.au kuna sehem zinapatikana
 
Catering service,

Una vifaa au uta outsource watu wa kupika ?

Tender zipo kote kwenye sector binafsi na serikalini.

Nakuomba sana EPUKA kufanya kazi na LGA Hawa wanasumbua malipo.

Tender documents ukipata Kuna sehemu unazijaza tu zinaeleweka hazihitaji kuelimishwa.
Nina vifaa mkuu pia nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri
 
Mnafanya vitu gani na hadi hatua gani kwenye Growing of Vegetables and melons,roots and tubers?
Mnatoa ushauri, mbegu, kuweka miche ardhini na kuelekeza jinsi ya kuitunza au huduma zenu zikoje?
Hii huduma bado haijaanza ikianza nafiri ndo tutaielezea kwa baadae kidogo
 
Back
Top Bottom