Naitaka yeye ananikatalia - njooni tuzogoe!

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
11,902
Reaction score
27,646
Leo siku imeanza vibaya na imeisha vibaya.
Kunyimwa inauma nyie 😔 ANYWAY ; Jibu moja ya maswali haya tuzogoe.
  • Nini kimetokea wiki hii kikakufurahisha au kukukera?

  • Nyimbo unazozisikiliza on repeat wiki hii ni zipi?

  • Kwa wanaume, ulishawahi kutongozwa na mwanamke? na ulimkubalia au alikuogopesha ukapita vile?

  • Lini mara mwisho kunyimwa mizagamuano ulipomuomba bebi wako? na alikupa kisingizio gani?

  • Weekend hii uko wapi na unafanya nini?
 
Leo siku imeanza vibaya na imeisha vibaya.
Kunyimwa inauma nyie 😔 ANYWAY; Jibu moja ya maswali haya tuzogoe.
  • Nini kimetokea wiki hii kikakufurahisha au kukukera?

  • Jumamosi hii uko wapi na unafanya nini?

  • Kwa wanaume, ulishawahi kutongozwa na mwanamke? na ulimkubalia au alikuogopesha ukapita vile?

  • Lini mara mwisho kunyimwa mizagamuano ulipomuomba bebi wako? na alikupa kisingizio gani?

  • Nyimbo unazozisikiliza on repeat wiki hii ni zipi?
Uoe
 
Kaone kaa na mimi ule bata🤣
😊😊
Kule chemba kumepoa, nije utupie ka 📷
giphy.gif
 
Back
Top Bottom