Naitaji vitz fasta.

Naitaji vitz fasta.

Mizzle87

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
93
Reaction score
6
Wadau nahitaji vitz iliyokua ktk hali nzuri kwa bajeti ya 3.5mil km unayo nipm au nichek humu 0755922424.
 
Hiyo pesa hata bajaji ya matairi matatu hapati, unataka kitu cha matairi manne?? Umetishaa
 
Tunatofautiana uwezo na hiyo ni bajeti yangu na sina pesa ya kumnufahisha mtu(dalali) ikitokea mwenye kigari hicho kapitia huu uzi ataweza kunitafuta na zaidi sina haraka ata mwaka kesho ikitokea kulipata nitakuwa na uwezo wa kulipia tu kwa kua pesa ninayo cash na kwa sasa naendelea kupanda public service car.
 
Kiukweli hiyo pesa yako utapata gari bovu ndio maana nikakushangaa ....kama upo serious endelea kusave hiyo pesa yako mwakani uagize mwenyewe used Japan huko kuliko kufosi kunnua matatizo...nilivyokuambia hivyo haina maana kwamba Mimi tajiri Sana ...no ukweli hiyo pesa yako ndogo Sana
 
vp ulishadanganywa kwa pesa hiyo nini maana nimeongea kitu kwa uwezo nilionao mimi wewe wapata shida ya nini?

Haya nakutakia kila la kheri ukilipata unga urafiki na watu wa garage i mean mafundi magari.
 
Kiukweli hiyo pesa yako utapata gari bovu ndio maana nikakushangaa ....kama upo serious endelea kusave hiyo pesa yako mwakani uagize mwenyewe used Japan huko kuliko kufosi kunnua matatizo...nilivyokuambia hivyo haina maana kwamba Mimi tajiri Sana ...no ukweli hiyo pesa yako ndogo Sana

Hiyo hela ni nyingi sana 3.5m ni nyingi sana ninachomshangaa kwa nini atupe hela nyingi kwa kitu kitakachomletea shida??na kumtia hasara.
Ushauri tu aendelee kuzichanga zitimie aagize Japan hapo ataenjoy kuwa na gari.
Cheap is always expensive.
 
Thanks and well noted mkuu!
 
Hiyo hela ni nyingi sana 3.5m ni nyingi sana ninachomshangaa kwa nini atupe hela nyingi kwa kitu kitakachomletea shida??na kumtia hasara.
Ushauri tu aendelee kuzichanga zitimie aagize Japan hapo ataenjoy kuwa na gari.
Cheap is always expensive.

Ndiyo maana nakumiss maana una busara sana, sahau yaliyopita urudi nyumbani
 
Hiyo hela ni nyingi sana 3.5m ni nyingi sana ninachomshangaa kwa nini atupe hela nyingi kwa kitu kitakachomletea shida??na kumtia hasara.
Ushauri tu aendelee kuzichanga zitimie aagize Japan hapo ataenjoy kuwa na gari.
Cheap is always expensive.

Sasa umeeleweka na akhsante kwa kunitakia mwema ata km hunijui na sio mbaya ata 2kawa marafik sisi ili nicwe na mafundi magari ndugu.
 
Ungekuwa Zanzibar ungepata kwa hiyo bei lakini ishu kuivusha huku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom