wa ndugu mimi ni kijana naishi hapa mwanza nimemaliza chuo mwaka huu na nimebahatika kupata kijikazi japo hakilipi kihivyo.nilipokuwa chuo nilibahatika kuwa na mahusiano na dada mmoja for almost 2 years nimemaliza na yeye ndo yuko mwaka wa tatu hapa mjini,ndani ya muda wa mahusiano yetu tumekuwa niwatu wa kugombana mara kwa mara na kuachana na kurudiana mara kadhaa,tukiwa chuo huyu dada alipata ujauzito na akakomaa autoe mimi sikupenda atoe lkn kwa ubabe wake alitoa,nilikasirika lakini tukaelewana maisha yakaendelea ikawa haipiti wiki ni ugonvi tu dada anapenda kunicontrol na maamuz ya kibabe,tukigombana mimi naomba msamaha tunaendelea yeye hajui kabsa neno samahani.baada ya kumaliza chuo na kupata kazi ugonvi pia nakutoelewana kukazidi ikabidi tuachane ths tym nkamwambia niko seriouz nasita mrudia akalia sana lakn nikasema sita change uwamuzi,baada ya wiki kama mbili hv nikaanza mahusiano na mtu mwingne kipindi hicho chote alikuwa anasumbua turudiane analia lkn nikasema si change ,sasa siku moja nimetoka kazini nikamkuta mlangoni kwangu akiwa amedhoofu sana amepungua analia nikamuuliza vip akasema hawez kuishi bila mimi nikasema kurudiana nae hapana coz hatuwez kuwa na future coz mkorofi sana,akaniambia nimpe hata copy yangu yan nimpe mimba nikamwambia mm nina mtu mwingne hatuwez rudiana,tukakaa tukaongea akasema nimpe mwezi atabadirika nkasema sawa kwa bahati mbaya siku hiyo tukafanya ngono,hazkupita wiki mbili tukagombana tena,basi nikaendelea na dada nilokuwa nae,juzi kanipigia simu yupo chuo anamimba,cjui nifanyeje coz namtu mwingne na mimi cijawa tayari kulea mtoto coz bado cjajipanga,kuishi nae pia ni ngumu coz mgonvi sana,je mtoto pia itakuwaje.am so confused nipeni ushauri nifanyeje ndugu yenu coz me pia namakosa na mapungufu yangu.