naitaji ushauri wenu niko njia panda

naitaji ushauri wenu niko njia panda

amevurugwa! wanaume wenye kukosa maamuzi ni janga jingine la kitaifa! hivi mtu unadanganyikaje na papuchi kirahisi hivo?kuna jamaa mwingine my workmate nae ni hivi hivi na mpenzi wake baada ya dada kumtegea mimba akahamia kwake amejifungua wanaishi wote ila jamaa anasema hamtaki eti ! wakati mtu anaishi kwake ...huwa namshangaa sana
Huyu rafiki yako na huyu mtoa mada ni vilaza BIG time. Hivi inakuwaje mtu unaendeshwa kama gari bovu??!!! Mi huwa nashindwa kuelewa kabisa
 
Mimba sio ticket ya ndoq. Mwambie nashukuru kwq taarifa, anza kutunza mimba. Akizaa kama huna hakika kapime DNA. By the way, anza kuwaza utamweleza nini the current mama.
 
Sasa uko confused kivipi kama mimba ya kwanza ulikuwa tayari kuilea [asitoe] alafu hii ikuchanganye akili? Na kama hukutaka kumwachia copy kwanini iyo siku ukakutana nae kimwili tena bila mpira? Au ndo zile ''aah ngoja nigonge mara ya mwisho alafu asinisumbue tena, nina kitu kipya bhana.'' Uliyataka mwenyewe kwa tamaa zako za ngono. Kaa chini ujipange kulea fullstop.....
 
wa ndugu mimi ni kijana naishi hapa mwanza nimemaliza chuo mwaka huu na nimebahatika kupata kijikazi japo hakilipi kihivyo.nilipokuwa chuo nilibahatika kuwa na mahusiano na dada mmoja for almost 2 years nimemaliza na yeye ndo yuko mwaka wa tatu hapa mjini,ndani ya muda wa mahusiano yetu tumekuwa niwatu wa kugombana mara kwa mara na kuachana na kurudiana mara kadhaa,tukiwa chuo huyu dada alipata ujauzito na akakomaa autoe mimi sikupenda atoe lkn kwa ubabe wake alitoa,nilikasirika lakini tukaelewana maisha yakaendelea ikawa haipiti wiki ni ugonvi tu dada anapenda kunicontrol na maamuz ya kibabe,tukigombana mimi naomba msamaha tunaendelea yeye hajui kabsa neno samahani.baada ya kumaliza chuo na kupata kazi ugonvi pia nakutoelewana kukazidi ikabidi tuachane ths tym nkamwambia niko seriouz nasita mrudia akalia sana lakn nikasema sita change uwamuzi,baada ya wiki kama mbili hv nikaanza mahusiano na mtu mwingne kipindi hicho chote alikuwa anasumbua turudiane analia lkn nikasema si change ,sasa siku moja nimetoka kazini nikamkuta mlangoni kwangu akiwa amedhoofu sana amepungua analia nikamuuliza vip akasema hawez kuishi bila mimi nikasema kurudiana nae hapana coz hatuwez kuwa na future coz mkorofi sana,akaniambia nimpe hata copy yangu yan nimpe mimba nikamwambia mm nina mtu mwingne hatuwez rudiana,tukakaa tukaongea akasema nimpe mwezi atabadirika nkasema sawa kwa bahati mbaya siku hiyo tukafanya ngono,hazkupita wiki mbili tukagombana tena,basi nikaendelea na dada nilokuwa nae,juzi kanipigia simu yupo chuo anamimba,cjui nifanyeje coz namtu mwingne na mimi cijawa tayari kulea mtoto coz bado cjajipanga,kuishi nae pia ni ngumu coz mgonvi sana,je mtoto pia itakuwaje.am so confused nipeni ushauri nifanyeje ndugu yenu coz me pia namakosa na mapungufu yangu.

Umefanya makosa makubwa sana kaka yangu! Huwezi kuachana na msichana halafu eti akubembeleze mrudiane na mapenzi mkafanya! No! Try to be serious! Unasema hauko tayari kulea mtoto, vipi zile mimba unazosema hukutaka atoe, je wakati huo ulikuwa tayari kulea mtoto (afu ulikuwa shule bado).

Nakushauri umrudie Muumba wako, na umuombe akuoneshe yupi mkeo ila lea mimba na mtoto kama kweli dada mjamzito.
 
Hahahahaaaaaaa weye vipi? Hayo ndio mapenzi ya huko kwetu Tarime. Mapenzi ya Kikurya, kupigana, kugombana, kutukanana nk. ni sehemu ya Romance. Ndio maana hata wewe baada ya kugombana na kusema sikutaki sikutaki sikutaki lakini uliiishia kufanya nae tendo bila condom. Jiandae kulea mtoto wako.
 
ndo maana huyo dada anakucontrol..... huna msimamo, huelewi nini unataka......lea mimba
 
Huyo dada hana mimba anakupiga changa la macho tu...
Afu msela duh hivi kweli ukashindwa kujizuia sawa! bado hadi condom ukashindwa kukumbuka? umetisha mzee, unajua ni kamoja tu kanaleta kiumbe kipya hata si viwili.. we pima situation vzr icjekua hata huyo ana mishe ya mwingine alitaka pa kurusha!! ila ka ni wako azae tu ujiandae kupambana na maisha, usiue
 
Alitaka copy yako umempa deal is done. Jiulize kwa nn mwanzo aliitoa mimba yako sasa hivi kaona ndio silaha ya msaada iliobaki kukukamatia. Achana nae ingawa hiyo case inaweza kukusababishia ugomvi na hata kuachana na huyo ulonae. Hata hivyo isikufanye urudi nyuma so long as umeshafahamu kua huyo dada huwezi ishi nae.
 
sio kwamba sina akili huyu ni mtu niliyekuwa nae for 2 yrs,na mm ni binadamu na madhaifu yangu.just advice ucntukane jamaa.

madhaifu yako hovyo, bure kabisa...
 
Mkuu vipi mbona huna maamuzi ya kikubwa umeachana nae ndani ya wiki mbili tayari unamwingine au tayari ulikua nae kwa muda wote huo ....kwanini ukubali kusex nae bila kondomu nakati ukijua huna future nae.
 
muache hyo dada wa watu ambae upo nae kwny mahusiano
atapata mwingine fresh, ww endelea na huyo2 maana ndo manawezana.
Mimba ya kwanza ulikasirika alipoitoa!?
Ya sshiv unasema utaleaje wakati upo kazini?is it pocble?
Ina maana ile ya kwanza ulikuwa na uwezo wa kuilea ukiwa chuo hauna kazi na hii unashindwa vip wakati una kazi?

Cjakuelewa!!!
 
na ww utakuwa mjinga kwenda hospital kupima ujauzito kwani lazma umwambie ajiandae mpaka akahonge madaktari acha akili za kuku ww tamaa za kijinga hizo ...#()
 
Yaani we kweli bandika bandua mnaachana ndani ya two weeks umeshapata mwingine? unamsingizia huyo dada si mkorofi but ulikuwa unamsaliti na huyo mpz wako wa sasa tangu ukiwa nae yeye ndo maana hamkuwa na amani...na inaonesha yo x bado anakupenda pamoja na vitimbi.vyako na ndo maana kakutegeshea mchezo but wewe ndo haujatulia.

Watu mkija JF mnakuja na story zinazofavor upande wenu but I am sure kama tungekuwa tunasikiliza pande mbili huyu kaka kaplay part kubwa sana kwa mpz wake kutokuwa na amani nae.
Ni hayo tu.
 
Kuchovya raha kweri, maana watu huwa wanapoteza network kabisa. Baadae wakishamaliza ndo wanakuja kuomba ushauri!
 
Back
Top Bottom