Naitaji tsh laki tatu naweka bondi samsung note 3

Naitaji tsh laki tatu naweka bondi samsung note 3

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,281
Reaction score
8,601
Wakuu mambo vipi? Nimepata dharula naitaji sh laki tatu naweka bondi simu yangu Samsung note 3 mpya 0686 274501 kwa mtu yyte alie interested pesa nalipa kwa riba
 
Wakuu mambo vipi? Nimepata dharula naitaji sh laki tatu naweka bondi simu yangu Samsung note 3 mpya 0686 274501 kwa mtu yyte alie interested pesa nalipa kwa riba

Watu mbona hamweki data vizuri, sema uko wapi watu wajue .sasa uko mbeya mtu wa kigoma akupigie mbona upuuzi,
 
Watu mbona hamweki data vizuri, sema uko wapi watu wajue .sasa uko mbeya mtu wa kigoma akupigie mbona upuuzi,

Wanadhani watu wote tunaidhi dar. Eti dar ndo Tanzania
 
weka hyo simu tuione tukupatie pesa wewe utakufaje wakati unamali zako ndani?
 
hahahahaha anataka hela ya bia uyo..chezea eid wewe na hela una..bby anataka kwenda outing
 
Masamsung yamejaa feki mengi kweli. Siku ya 150,000 unaiita Samsung kweli kisha upewe 300,000 kirahisi namba hiyo?
 
Back
Top Bottom