Wakuu naitaji gari aina ya Rav 4 five doors kwa milion sita yoyote mwenye nayo
anipm
Wakuu naitaji gari aina ya Rav 4 five doors kwa milion sita yoyote mwenye nayo anipm
Hujui magari ndiyo maana unasema hivyo, yaani RAV4 kwa 6ml!!!!
ninayo RAV4 ya 2010 milango mitano, manual 15000Km , SM, PS, DUAL AIRBAGS, AWS, KE, ABS , leathern seats, AC, etc bei 48m ,ni pm kama unahitaji
RAV4 ya 6m , labda nimpe carina my road ya 94 kwa hiyo pesa. Samahani mzee kwa kukuchekesha ila umesahau kuseal kicheko hicho na "like"-just kidding !Mtu ana 6ml wewe unauza 48ml unasema auPM!!!! Haya kaka ila kiasi imenichekesha.
Kwa bei hiyo Rav4 Mkuu mbona ndogo sana? hata 3 doors nadhani ni ngumu sana!!
mi nina ya milango 3 milioni 12Wekeni bei zenu basi tufanye biashara tusianze kubishana
Million tisa poa, nipe contact zako nipm