Naitaji pikipiki aina ya fekon

Naitaji pikipiki aina ya fekon

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habari wapendwa

Nahitaji pikipiki aina ya FEKON 150cc - 220cc iwe na road license, imekatiwa bima iliyotumika miezi 4 hadi 5
nitainunua kwa shs 950,000/= pls aliyenayo aniPM kwa mawasiliano zaidi nina shida kweli kweli nayo

asanteni
 
ina maana hakuna mtu aliyonayo hiyo pikipiki namaanisha bandugu
 
Habari wapendwa

Nahitaji pikipiki aina ya FEKON 150cc - 220cc iwe na road license, imekatiwa bima iliyotumika miezi 4 hadi 5
nitainunua kwa shs 950,000/= pls aliyenayo aniPM kwa mawasiliano zaidi nina shida kweli kweli nayo

asanteni

220cc kwa fekon hakuna iko 125cc na 150! me nauza boxer 150 nipe 1.4 namba yake ni T...CGS
 
220cc kwa fekon hakuna iko 125cc na 150! me nauza boxer 150 nipe 1.4 namba yake ni T...CGS

Mkuu nitafute wiki ijayo nitakupa 1200k nahitaji ya kufanyia matembezi.Pm is required for more contact.
 
Back
Top Bottom