ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Mimi hakunifurahisha ladyfurahia maana kakimbia kabisa hii ya JINYEE ilikuwa safi kwake kabisa na angetamba niyo mitaani kwani haihitaji choo, ingwawa ni CG 250 (250cc) bado inemtosha maana naona inatembea
Nauza za kwangu, ni Fekon nyekundu nimezinunua last year September ila kwa bei hio Mpwa wangu, mmmhh naogopa kukubali. Ninayomoja ilipata ajali iko home tu matengenezo yake pengine ni kama laki au laki na nusu, tulonge
He he he he
Hii pikipiki utatraa sana, na hii sarawali juu yake ni ya EMT?
Mimi hakunifurahisha ladyfurahia maana kakimbia kabisa hii ya JINYEE ilikuwa safi kwake kabisa na angetamba niyo mitaani kwani haihitaji choo, ingwawa ni CG 250 (250cc) bado inemtosha maana naona inatembea
chini ya 250 ni hatari maana ni kadogo sana hata mwendo na kazi hakataweza
He he he he
Hii pikipiki utatraa sana, na hii sarawali juu yake ni ya EMT?
Kama upo serious kweli basi agizia upewe pikipiki za CG 250 hizo zipo nyingi sana na bei kweli chini ya 700,000/ utapatajamani niko serous kabisa nataka aina ya FEKON AU SUNLG kwanini mnaleta utani mbele ya kazi jamani?
ahahahhahahhahhahahha konnieeeeee!
unataka kusemaje sasa??
nimekumiss sana wangu!MNO!
Mbona adabu mbele kama tai?
Umepotezwa na nani?
Mbona adabu mbele kama tai?
Umepotezwa na nani?
umeweka budget ndogo atleast ungeongeza laki 9,ungepata pikpik nzuri
utauziwa ugonjwa wa moyo dada angu ladyfurahia
kwani zilizotumika zinauzwa 1.600,000/= best sasa hizo mpya itakuweje? oky acha niufuate ushauri wako ila kiasi nilichonacho ndo hicho sina kingine ndo maana naitaji hivyo best