wakuu mambo vipi? nimenunua dish, nimeshalifunga, sasa naitaji mtu wa kunifanyia setting dekoda yangu i mean kuniwekea freq na mambo mengine..... niko mbeya block T
Mkuu, umepata bahati ya kusaidiwa na mtaalam tunayemtegemea humu jukwaani, hivyo ungemuelezea kuwa ni free to air au pay decoder na pia unataka channel zipi? Bila shaka Arselona angekusaidia haraka.