Naitaji msaaada kweli hizi simu zipo sokoni

Naitaji msaaada kweli hizi simu zipo sokoni

Hizo simu za Nokia 3310 (2017) bado hazijaanza kuuzwa.
Kilichofanyika ni kuzinduliwa tu. Kwa hiyo bado hazipo duka lolote
Hata ulaya wanasubiri. Pengine kuanzia mwezi wa nne au wa tano
mwaka huu zaweza kuingia sokoni. Msije kutapeliwa mtu yeyote
akadai anaziuza.
 
Back
Top Bottom