A man with no name JF-Expert Member Joined May 7, 2017 Posts 1,131 Reaction score 1,598 Jul 28, 2018 #1 Wakuu kama kichwa kinavyo jieleza naitaji kununua mbegu za maboga kwa mwenye nazo naomba anifahamishe anauzaje kwa kilo na anapatikana wapi Asanteni nawasilisha
Wakuu kama kichwa kinavyo jieleza naitaji kununua mbegu za maboga kwa mwenye nazo naomba anifahamishe anauzaje kwa kilo na anapatikana wapi Asanteni nawasilisha
A man with no name JF-Expert Member Joined May 7, 2017 Posts 1,131 Reaction score 1,598 Jul 28, 2018 Thread starter #2 Mbegu za maboga wakuu
Mkwaha JF-Expert Member Joined Oct 4, 2012 Posts 1,732 Reaction score 3,268 Jul 28, 2018 #3 Unanunua bei gani na unahitaji kiasi gani
T TIBIM JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 8,010 Reaction score 7,969 Jul 28, 2018 #4 Zimejaa madukani na masokoni yote ni wewe tu hata ukitaka magunia,bei kwenye 3000 kwa kilo hivi,ukitaka unga wa maboga upo sokoni ni wwe tu
Zimejaa madukani na masokoni yote ni wewe tu hata ukitaka magunia,bei kwenye 3000 kwa kilo hivi,ukitaka unga wa maboga upo sokoni ni wwe tu
danali JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 1,135 Reaction score 1,675 Jul 28, 2018 #5 Nimefungua nyuzi kujua mabiga ni nini Last edited: Jul 28, 2018
Mkwaha JF-Expert Member Joined Oct 4, 2012 Posts 1,732 Reaction score 3,268 Jul 28, 2018 #6 danali said: Nimefingua nyuzi kujua mabiga ni nini Click to expand... Fungua nyuzi nyingine ili tujue nimefingua ina maana gani
danali said: Nimefingua nyuzi kujua mabiga ni nini Click to expand... Fungua nyuzi nyingine ili tujue nimefingua ina maana gani
danali JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 1,135 Reaction score 1,675 Jul 28, 2018 #7 Mkwaha said: Fungua nyuzi nyingine ili tujue nimefingua ina maana gani Click to expand... Karma
Mkwaha JF-Expert Member Joined Oct 4, 2012 Posts 1,732 Reaction score 3,268 Jul 28, 2018 #8 danali said: π‘ Click to expand... πͺπͺπͺπͺ
johnhance JF-Expert Member Joined Jul 9, 2016 Posts 1,769 Reaction score 2,135 Jul 29, 2018 #9 Mkwaha said: Fungua nyuzi nyingine ili tujue nimefingua ina maana gani Click to expand... hahahaha tit for tat
Mkwaha said: Fungua nyuzi nyingine ili tujue nimefingua ina maana gani Click to expand... hahahaha tit for tat