Mkurungu!!!Hutapata vibali vimepigwa kufuli kwa sasa
Nafikiri hata huo pia hasa kama unataka kusafirisha nje ya nchiMkurungu!!!
Ni mti imara sana unatoa maji kama damu. Hata wangetumia kama nguzo daraja la Nyerere kigamboni hamna shidamkurungu ndo mti upi huo?