Fursa hiyo...
itumieeeeee
Mmh fursa zingine sio
hahahah ndo maana kikwete alisema ukitaka kula lazima uliwe ...lol
Hapo kwenye kuliwa sasa ndio ishu...
na hapo kwenye kula ndo ishu kwa jamaa
Fursa hiyo...
Natumaini umeshamtembelea piemu
Kuandika kwenyewe hujui,kazi kuwaza ndude tu...Nzanzibar ndo nini? Na hiyo trip kama kwenda na msichana ni compulsory kwanini usiongozane na dada yako?