Habari za mid a hii wanna if. Husika na kichwa cha habari apo juu Nina mlion 7 naitaji gari mojawapo kati ya hizi . Toyota brevis; alteza ama ipsum ziwe katika hali nzuri na I we imeanzia 2003 mwaka na kuendelea. Natanguliza shukran.
mwakibete namimi nitumie pic ya hyo verossa.mkuu 0714478797
A cha umama ww king Kong. Mwakibete ngoja nilurushie no tuongee bei
mwakibete namimi nitumie pic ya hyo verossa.mkuu 0714478797
Toyota premio G
Mwaka 2003
Bei 8.5M
View attachment 155503View attachment 155504View attachment 155505View attachment 155506
Toyota premio G
Mwaka 2003
Bei 8.5M
View attachment 155503View attachment 155504View attachment 155505View attachment 155506
Gari ina cc ngapi?odometer?iko espi?