Naitaji gari hii kwa wenye ufahamu zaidi

Naitaji gari hii kwa wenye ufahamu zaidi

master eagle

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
342
Reaction score
88
Habari wakuu natafuta gari la matumizi binafs ila napendelea kati ya hizi gari Lexus RX330 ya mwaka 2004 kwa wenye taarifa zaidi juu ya gar hii na kwa bongo ni sh. Ngapi.

Ama altenatively ni Nissan hardbody double kibin naomba pia nipate details ya gari inaendaje kwa hapa bongo
 
Back
Top Bottom